Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana JF kwa kweli tunahitaji kuwa na mabadiliko ya kweli tunahitaji kuleta mada ambazo zitaimarisha mahusiano, zitadumisha upendo na mwisho kila mmoja awe na ndoa nzuri vinginevyo tutachangia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yani mademu huwa wanauzi sana, unamwomba fresh mnakubaliana. Mnapanga appointment mnakwenda kwa lengo moja la kudo. Unachukua hoteli mnaingia ndani ana anza kusumbua eti hataki tena hajajiandaa...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Jana kwa dirisha la jirani yangu hapa Masasi nasikia. Siyo vizuri, Mbona kunuka hivyo, wewe uchikii kunuka Baa!! Ndio nini tenaa. Nikajua yale yale. Jamani!! Huu mtandao mbona unaenea kwa kasi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kweli kweli kweli, kuna mwanamke wa mjini ambaye hajawahi kutoa mimba? Yani kuanzia anasoma msingi, sekondari, chuo, kazini. Kweli kweli kama kuna mdada humu ndani ana uhakika aseme. Naomba sana...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kwanini mademu hata akiwa mke wako bila kujali kipato chake kikoje mnapokuwa either mmetoka au kuna shughuli yoyote mnafanya inayohusisha mambo ya malipo wao wanakaaga pembeni kabisa kwenye...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Utakuta umetumia maufundi yako yote kumridhisha demu na yeye akafurahia sana tu kwa kumfikisha kunako ila hata siku moja hatokupa sifa/hatokushukuru kwa kunaniliu vizuri. Je kwanani wanawake...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi kuna ukweli kwamba mliopata wapenzi jf mumesajiri ID nyingine??ili msigundulike kama mnachangia mada zakuwasononesha wapenzi wenu???je nikweli? Mawazo tafadhali.
0 Reactions
223 Replies
12K Views
Kusema kweli jambo hili linaniuma sana na linanikera hasa! Mtaani kwangu pengine hata mtaani kwako pia kuna watu tena watu wenye heshima zao pamoja na kujijua wazi kwamba wanaishi na HIV/VVU bado...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kila siku nashangaa sana, kipi ni sahihi, kwenye mahusiano ya ndoa. Kwa upande wa kina mama, ni lipi jema, kuongea kila kinachoukwaza moyo wako kuhusu mwenendo mzima wa mwenzio na utaratibu wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajf ikitokea mmeoana then ukagundua mwenzio ni mshirikina/mchawi utafanyaje? na anao siku nyingi ila hukujua baada ya kupata habari ukamuuliza akakuambia ni kweli yeye ni mchawi na hawezi...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
unalionaje hii? Mama mmoja baba tofauti Kwa mfano mama anakuwa na watoto wa 5 kila mmoja na baba yake, na hakuna hata mmoja ambaye ni deceased. Wote wako hai, na mwanamama huyo anawajengea...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
A woman came out of her house and saw 3 old men with long white beards sitting in her front yard. She did not recognize them. She said 'I don't think I know you, but you must be hungry. Please...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kweli kuwa tangu zamani mifarakano katika na kuvunjika kwa ndoa vilikuwepo. Hata hivyo, ni wazi kuwa hali hiyo imeongezeka sana siku za karibuni. Baadhi ya sababu zinazotajwa kusababisha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
According to the book 'Heart to Heart' by Nancy Van Pelt, the following are the most important things you must do in your marriage discussion. 1. Do your best to reach an agreement before...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice...
0 Reactions
353 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…