Kwa nn akina mama mpo hivi?
Unakuta kwenye daladala mama amepanda ana mtoto mchanga seat za karibu kuna akina mama utakuta wameuchunaaaaaaa kumwachia seat au kumpokea mtoto kimyaaaaa mpaka sisi...
Ndugu wanaJF kunadhana inapofikia kwenda kutambulishwa ukwen wanaume weng huwa wanapga chenga suala hili la kwenda kutambulishwa kwa wazaz au jamaa wa huyu mwanamke hv ni nini haswa kinachopelekea...
Kumekuwa na tatizo la wanando kutokuwa waaminifu katika ndoa zao, kimsingi jambo hili sijalifanyia utafiti ila naamini huju JF wapo wengi ambao watakuwa wanamaelezo ya kutosha kueleza sababu ya...
Habari zenu wana GT!
Nimefanya uchunguzi wangu miaka 6 sasa kuhusu haya mapenzi yetu...mahusiano yetu... Hadi inapofikia kuishi pamoja...hua nimejiuliza maswali mengi zaidi.
Unaonaje kama...
Asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe . . .
And before you find your own Prince/Princess, you would have kissed many frogs . . . This is a plain fact.
Kwa maoni yako; Cheater yeyote...
Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote...
Ndugu wana JF ambao mnatafuta wachumba wa kuoa, nawashauri muoe wanawake wenye taaluma ya ualimu. Kina mama walimu, wengi wao, ni watulivu na ni walezi wazuri wa familia. Wanavaa mavazi ya heshima...
Miaka ya mwanzo ilikuwa utaratibu wa lazima kwamba mume ambaye ni mtumishi wa Serikali anapohama basi lazima mkewe kama naye ni mtumishi anapoomba kumfuata huko alikohamia lazima apewe naye...
Tuesday, January 11, 2011 ~ Copyright: Michuzi , Maoni: 1
MAMBO YA GADO
nani atasalimika hapa manake kila kona watu wanamiliki simu zaidi a moja,nyumba ndogo za kumwaga, cheating nyingi tu,nk...
Eti wanaume wa tanga mradi wakishapata malavidavi na kula vizuri baaaas! Hawajui kingine, wabahili, wanapenda kutafuta wamama wenye ela zao ili. Kukwepa majukumu au wasichana wenye kazi ili...
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration...
He makes you laugh until you cry
A sense of the humour is one of the most appealing qualities in a man and sharing the same jokes will keep you close, whatever comes your way. It doesn't matter...
Naturally, wanawake wanapenda kuongea zaidi na wanaume huwa wanashauriwa they should be more listeners than speakers to their partners. This is because a man traveling by plane was in urgent need...
Habar zenyu wanaJF hv kwanini yapata asilimia 85 simu za mkonon zimekuwa chanzo kikubwa katka kuvunjika kwa ndoa na mahusiano now days ni kwamba hakuna uaminifu au yan ni nini haswa
Wakulu heshima mbele...
Hiviiii.... hii mi-gwaride-ngono havi wanayopewa small houses.... zoote zikusanywe akandamiziwe main hausi (ze waif)... wataweza kuhimili kweli....?:coffee:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.