Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani...
unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe...
Hii imenitokea juzi kati wakuu nilikuwa na kifaa kipya ambacho nimekifukuzia takribani miaka 3 ndo juzi kati akaamua kuniachia nikague mali zangu huku nikimmwagia maahadi kem kem sasa siku hiyo...
Natafuta infii...mama mkwe ananitaka...namtamani baba mkwe and the list goes on!!!
Sasa what is next? Nataka kummega binti yangu au nataka kumegwa na kijana wangu?
Au nimemzimia kuku wa...
Ndugu wana JF
Niwashirikishe furaha yangu ya kuwa leo nimeweza kulipa karo za wanangu sita. Kwa furaha hii, nimepanga kidogo kilichobaki nikalambe ulabu (ndovu baridiiii) na nibakize sadaka kwa...
Wapwaz na binamuz habari za asubuhi, wakubwa shikamoni, natumaini mmeamka salama wapenzi. Hebu nisaidieni katika hili kwa nini inatokea anaekupenda wewe humpendi na matokeo yake unampenda ambae...
Wakajikuta swali lao limekosewa! Ni kweli zogo (controversy) au hekaheka kubwa inayowagawa watu katika makundi mawili kuhusu talaka inapatikana katika injili ya Mathayo 5:32 na 19:9
Kumbuka...
Hiki kisa ni cha leo leo.
Nina rafiki zangu wawili ambao ni wafanyabiashara, ivo mara nying huwa nakutana nao weekend kwsbb ninaish mbali na wao ingawa wao mara zote hushinda pamoja kwasbb ya...
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF...
Rafiki yangu kalalamika hajaonana na mpenzi wake tangu mwaka huu uanze wanazungumza kwa sim tu. kila akitaka waonane anasema yuko busy na last year ilikuwa ngumu kupitisha siku bila kukutana
Je...
Samahani wandugu, najua hili si jukwaa la lugha lakini haya maneno nadhani yanahusu sana hapa MMU.
Naomba kwa anayejua anisaidie tofauti ya haya maneno matatu ili niweze kuyatumia ipasavyo;
1...
Huwa sipatagi jibu, hivi ukisha oa mke wa kwanza, then unataka kuoa mke wa pili, tatu
4...... unamwambiaje mkeo uliyenaye? na mke wa kwanza si atakataa tu au wanalazimishwaga nini, maskini...
Mzigo jamani mzigo huu, kuubeba wameubeba wengi wa mwisho sasa umemshinda eti anataka anipasie umemzidi uzito, eti safari imebakia fupi! Nimeshtuka mzigo huu ushakuwa mzito hata hatua moja kwenda...
Kusema ukweli sasa, inakuwa ni vigumu kumpata mchumba umpendaye wa kabila lako; hasa baada ya watu wengi kuhamia mijini na kwenda walikozaliwa kwa matembezi tu (au kugombea ubunge); ni baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.