JF habari zenu!!
Mwenzenu nina tatizo kubwa sana ambalo tangu nizaliwe sijawahi kukutana nalo.
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza...
Ewe dada unaringa, unaringa kitu gani,
umekonda kama kibao cha kusiginia chapati.
Kama wewe unanguvu tukutani uwanjani....
Ahhh..... Maneno mengine nimeyasahau.
Habari wana jamvi la malavidavi. Naombeni mchango wenu katika hili ,niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ila haongei ni mkimya sana hajui hata kusema asante. Hata sim zake ni za kikazi...
hello jf....mko poaa
nimerudi tena...sikujua kama kuachaga mtu nayo ni kazi ingine..ni hivi majuzi kati g/f wangu nilieanza nae tangu 2007 wakat npo chuo..tulipishana usemi, ila mwenzangu ana...
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI
Kama unayajua mengine unaweza ongezea
swali la kivushi.....!
Dear Gentlemen!
HIVI MAISHA YETU SS WANAUME YANGEKUWAJE KAMA UUME ULIOSIMAMA (ERECT PENIS) UNGEKUWA UNAPIGA MLUZI..?????? (WHISTLING LOUD)
imagine, kwenye daladala...
Nipo kwenye daladala kiti cha mbele ambacho huenda kinyumenyume gari likitembea. Mbele yangu kuna mdada nimempenda kama sio kumtamani....! kila nikimrushia macho tunagongana. Kwenye kiti cha nyuma...
Wapenzi wa JF...............Happy New Year kwenu wote
Was just thinking about Limbwata............ Kina kaka/dada on the second thought..hv mwanamke/mwanaume wako akikuwekea Limbwata kuna ubaya...
Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya...
Pipooooz,
kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba...
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?
Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...
Naomba kuwasilisha...
Woman=Problems.
How to prove this theorem,hebu check hapa down then mnipe mawaidha yenu!!
1. To find a woman you need TIME and MONEY, therefore:
Woman=Time x Money.
2. But...
mke kamtuma shogake amtest mumewe km ni mwaminifu. Mume alipostukia ni mtego akajiingiza line wakabadili hotel ambayo mkewe na shost walitaka wende akazma na cm za wote akalamba. Mke anahaha hajui...
Hii Barua nimetumiwa kwenye email yangu na huyo dada. Hivyo jaribu bahati yako kama waweza lidada lina mijiela hiyo. Lakini angalia isije kuwa CHAMBO. Akitaka akaunti namba yako wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.