yani uwezi kuamin kandri siku zinavozidi kwenda wasichana wanaojiuza maeneo ya ohio inazidi kuongeka tena biashara inaanza mapema tu mida ya sa moja na nusu hivi ..chakushangaza unamkuta ameka...
Wanajamii,
Nafikiria kuwa na mwenza wa baadae kuitwa 'mamsap', lakini nashindwa kubaini ni namna gani ya kumtambua mjenzi wa kweli.
Maana dadaz yaani hata hujafikiria kwamba UNAMTAZAMIA...basi...
Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine...
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni...
polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya...
Wadau
Najaribu kuangalia how good or bad love is... Leo nimeona mdada mmoja anatoa machozi ndani ya gari nzuri ya kifahari... nikajiuliza weee nikakosa majibu, kisha nikakumbuka hata masikini nao...
Nilimnasa kwa tundu bovu, nilitegesha misosi, mazagazaga kibao, nalo likanasika, likafugika ingawa kwa tabu na maumivu mingi kwangu, Kunguru kila mwanya likipata ujue hutoroka hadi usuke mtego...
Hivi inakuwaje mtoto wa kike anajipiga picha kama hii anaweka kwenye net halafu baadae akiambiwa kuwa anajiuza anang'aka kuwa amevunjiwa heshima!!!Wakati yeye ndiye kaanza kujivunjia Heshimu!! ebu...
Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua.
Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya...
Wadau,
Leo asubuhi wakati nimetoa mawazo mbali na matukio ya jana ya Arusha, nilifungulia 89.0 FM kipindi cha Early Morning Rise. Topic ya leo ilitoka kwa mwanaume ambaye ana ndoa ya mwaka mmoja...
Leo nimeambiwa eti mie naiga kupenda(Mapenzi yangu eti ya Kichina), hivi kuna wanaoiga kupenda Jamani? Kuna mapenzi ya Kichina siku hizi?...Sasa nataka kuacha kupenda, Je, nifanyaje sasa kwa wife...
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!
Kama hujazoea si uache????
Hili naamini litamsaidia yeyote!
Raha inapatikana wapi kwenye umbo zima la mwanadam?
Kunusa?
Kuona?
Kugusa?
...............
...............
Sasa ni kuona wapi?
Kugusa wapi?
Kunusa wapi...
For the takribani muongo sasa natafuta shori ..lakini most nimekutana na mashori ambao at the end naona miyeyusho baada ya kuwa shortlist nikapata hawa .
Denti IFM .mkaliii saana...
Nimekuwa nikisikia kuwa
Kwa wahindi, unaruhusiwa kufunga ndoa na yeyote yule ambaye sio tumbo baba mmoja na wewe. Yaani mtoto wa shangazi, ba mkubwa, ba mdogo n.k wote ruksa.
Kwa wamasai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.