Kuku wa ndimu mtamu
Kwa huyo ninayo hamu
Sitaki kula kwa zamu
Nile niishe utamu!
Kuku wa ndimu mtamu
Simhitaji mwalimu
Nile bila kulaumu
Nimle kuku wa ndimu!
Kuku wa ndimu mtamu
Kakaangwa...
Kwetu uswahilini, kwenu ushuani.
Kwetu kitambi dili, kila mtu anajua una hela.
Kila msichana atataka kuwa na wewe.
Kwenukitambi kero na udhia, eti mnalipa mahela kibao jim kukiondoa.
Kwetu...
Waheshimiwa Wana JF,
Mimi Naomba msaada wenu wa Ushauri ili niondokane na hii hali ya utumwa wa kupenda. Kuna mtoto mmoja wa kichaga simuelewi nini lengo lake! Nilikuwa na mahusiano naye toka...
Kwanza nianze kwa kuwatakia Mwaka mpya 2011 uwe wa fanaka na mafanikio. Kwangu Mwaka uliyopita ulikuwa na changamoto nyingi sana ila nashukuru Mungu kwa yote.
Leo nitapenda zungumzia silaha...
Waungwana natumai mko salama,
Mimi nina tatizo moja ambalo nafikiri kwa sasa limeniweka kwenye kona kali sana. Mwaka 2004 november nilikutana na binti mmoja wakitanga msambaa tukawa tumependana...
Mkeo kaacha simu yake ya mkononi wakati akiwa bafuni anaoga na kasha kuaga kuwa anaenda kitchen party. Mara simu inalia na unaamua kuipokea. Unasoma jina ni la Rais wa nchi yako. Hauamini...
Habari ndugu zangu, mimi nina Girlfriend wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
ki ukweli nimetokea kumpenda sana binti huyu hasa kutokana na uhusiano wetu na jinsi nilivomkuta...
Mie nikiona kwapa la mwanamke huwa napata taswira ya kiungo chake cha uzazi. Yaani huwa napata hisia na kuumba picha yake akiwa uchi.
Nikiona kale kajasho kanatiririka, mie hoi...Binafsi nashauri...
Heri ya mwaka mpya.
Naelewa wana JF wote ni watu safi kila mtu ana MPENZI wake mmoja tu na wengine hawana kabisa.
Lakini unamshaurije mtu ambae atapigiwa simu na mpenzi wa nje wakati yupo na...
Jamani mnaukumbuka mwanzo!! This is a beautiful point of reference.
Unakumbuka ulipokutana na mwenzako mara ya kwanza?
Unakumbuka ilikuwa ni maeneo gani?
Unakumbuka ni nini ulimwambia? Zile...
Nadhani Hapa watu huwa wanasamehe kwa maneno lakini kinyongo kinakuwepo …….. Ukweli ni kwamba Things Will Never Be The Same Again. Relationship Needs Trust na kuaminiana kutakuwa...
Wana JF,
Mimi kwa fani ni daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu Internal Medicine; nimeona nitumie wasaa huu kuwakumbusha au kuwashauri baadhi ya watu hususani dada zetu kwamba ni haki ya watoto...
Habari zenu, na heri ya mwaka mpya 2011!!!!
Tambueni kuwa tunawapenda sana!!Nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu
ndani ya 2011.
Kwa akina dada walio ndani ya ndoa, Mungu awabariki na...
Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity
mwaka 2011 nataka kuachana nayo
wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako
pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya...
Mm natarajia kuhtim masomo yangu kwenye chuo kimojawapo hapa tanzania, lakini akilini mwangu nina mawazo makuu mawili; kupata ajira na kuoa. Nimemweleza mpenzi wangu kuhusu mipango ya harusi yangu...
Kuna uwezekano 2010 ulikwa mwaka mzuri sana kwako kimapenzi, HONGERA ulimfanyia mpenzi wako jambo jema sana.Lakini pia kuna uwezekano uliteleza na ukafanya usichokipenda au kutarajia .Kwa tafakari...
UTAFANYEJE YAKIKUKUTA HAYA MAMBO HAPA CHINI?
1. Umeoa mke, na umezaa naye watoto watano, wengine wako shule ya msingi wengine chekechea
2. una tabia ya ulevi kila mtu mtaani anakujua.
3...
Samahani sana wana jf, naomba mnipe ukweli kuhusu hawa madada zetu wenye fani za unesi. Nasikia hawa watu ndo wa kwanza katika kusaliti ndoa zao kwa kutembea na madaktari wanapokuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.