Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling...
Wanasema ni 3 in 1.
Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni:
Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya
Ni siku yangu ya Kuzaliwa
Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu...
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo...
Jamani kuna hizi salamu mimi naweza ziita za kileo, mimi ni man, sasa utakuta demu ambaye mnafahamiana tu au mnafanya kazi ofisi moja na wala si wapenzi, anakuja anakusalimia kwa kukukumbatia kwa...
Kama ada yetu Wanamapenzi, Kila mtu hupenda Akipendacho lakini hapa sasa, Hata kama ni mgeni mwenye uzito gani huwa hapewi, kila mtu hupewa zawadi lkn hii katu haitolewi zawadi, Ukinasa wallah...
Jamani mwaka mpya kweli na mambo yake, nikiwa narudi zangu nyumbani after yale mabomu ya kuukaribisha 2011, sasa nikiwa speed bin no speed governor, kwenye High way, nikaona kwa mbali GHARI...
Jaribu kuchunguza na wewe pia, It happens once in a lifetime, It will start with a combotec!! 1st day is 1/1/11 then after 10 days 11/1/11 after 10 months 1/11/11, then after 10 days it will be...
Babu yangu Bigirita
Ninatumaini u mzima na MUNGU atakujalia uuone mwaka 2011 kwa amani, upendo na Rehema zake. Nina amini kabisa kuwa Mama yetu si kati ya wale waliosahau birthdate za watoto wao...
Yeah yeah ya mwaka mpya wakuu zangu na ya mwaka mkuu kuu wadogo zanguni? Jamani tukiwa tumebakiwa na masaa tu mwaka ukatike mie na ka swali...Dada zangu najua mvua hampendi ikinyesha sana, jua...
My Happy New Year wish for you
Is for your best year yet,
A year where life is peaceful,
And what you want, you get. A year in which you cherish
The past years memories,
And live your life each...
Habari zenu wana jamvini, napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya na nawapenda wote! wapendwa yamenikuta, ndoa changa, mume alinificha kama alioa nimeona divorce papers katika suitcase, naanzaje...
Wadada wanene wanapendeza sana machoni, na huwa wanaamsha hisia, hasa kama wana big wowowo. Na pia ukiwa-caress wanaamsha hisia kali haraka kwa sababu ya u-softness wao. Lkn tatizo lao ni...
A man and his wife quarreled and had a fight. After the fight, the wife went into the bedroom. A few minutes later, the husband also trooped into the bedroom and only to find the wife busy packing...
Kwa wajukuu zangu wapenzi, wadogo zangu, kaka zangu, dada zangu na wadau wote wa JF,
Babu anawatikia heri ya mwaka mpya wa 2011.
Kwa upande wa babu mwaka huu umekuwa wa mafanikio makubwa...
Delaying sex makes for a more satisfying and stable relationship later on, new research finds. Couples who had sex the earliest such as after the first date or within the first month of dating...
I have seen it! Happy New Year to all my dear friends!!! Be blessed. May you all be blessed. We do not know what the future holds but we know who holds the future! To HIM be Glory, Honor and...
heri ya mwaka mpya wana JF wote na poleni kwa mgao wa umeme.kama wewe ni msichana mwanamke upo tz na hujaolewa i mean upo single,uliachika , dini yoyote , umri wowote hata kama ulishazaa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.