Kuna wadada ving'ang'anizi sana! Unakutana nae hata wiki haijaisha anaanza kuleta habari za ndoa. Hata hamjasomana vizuri kujuana tabia yeye anaweka ndoa mbele kuliko kukufahamu wewe mwoaji...
Napata wakati mgumu sana na suala hili.Pengine kuna ukweli kwamba ni vema kujitunza mpaka siku ya ndoa,lakini yawezekana siku ya fungate unakutana na kitu usichokitarajia mwisho wa siku yakawa ni...
Tendo la kubaka katika baadhi ya makabila sijambo geni kwani ilikuwa ndiyo mila na desturi ya wakati ule nakwa hata vitabu vya dini vinaelezea!!jinsi walivyokuwa wakiwasubiri visimani nakuwabeba...
Great thinkers naombeni uzoefu wenu kwenye hili...Kama uchumba ukivunjika pete inarudishwa au anabaki nayo binti?Kama inatakiwa kurudishwa je ni lazima ama?
50 Cent Twitter: 'If you don't eat pu**y just kill your self'. Full tweet 'If you a man and your over 25 and you don't eat pu**y just kill your self damn it. The World will be better place. Lol"...
Nimepanga sehemu moja hapa DSM lakini Mama mwenye nyumba simwelewi kabisa!!!
Wakati tunaingia naye mkataba MASHARTI yalikuwa machache sana but akaongeza mengine yafuatayo:
1. Hataki wageni wengi...
Kuna rafiki yangu mmoja mwanamume, anakisa kimoja.
"kwa muda mrefu amekuwa akimuota anasema anamjia ndotoni mara kwa mara"
wakati mwingine halali kabisa, na uhusiano na mkewe umeanza kuyumba...
Wanaume wote wanashauriwa wapime vyote kabla ya ndo. Hiv na mimba pia ili msibambikiwe aise.
Kuna dume moja, alikaona kabinti akakapenda na kupima hiv tu na kukaoa haraka haraka. Madada zake...
Wakuu naomba mjikumbushe kwenye mambo yaliyokwisha tokea na yanaendelea kutokea!!!....Hivi huliwahi kumtaka msichana akakusumbua na akawa anakupiga chenga za hapa na pale ukavumilia yote?lakini...
Nimekuwa nikisikia watu wanaongelea tofauti ya mzungu na watu asili ya afrika ktk suala la mapenzi.
Inasemekana Wazungu walio wengi (sio wote) ni wataalamu sana wa mapenzi yote nje uwanja wa sita...
Wana wake wa mjini acha tu,
Nimekutana na lidada miaka tele january 2 december za kutosha
Ananiambia " I never felt this way b 4"
Huyu mmama ni mkweli au mwizi ananiongopea?
kwa kifupi kuchunguliwa simu ya mumewe kamwe haitamzuia kufaya mapenzi nje ya ndoa..............................Huyu mwanadada anatuthibitishia hilo.......................
I'll never check my...
Nimepigiwa simu muda si mrefu na kuhabarishwa kuwa jamaa mmoja katika mji wa Songea amefumanikwa na mganga maarufu kutoka kanda ya ziwa nyasa akiwa anavunja amri ya sita na mke wake! Mganga huyo...
YOYOYO WHATSSS UP DJ B IN DA HOUUUUUSE....
Wengi washachumbia (waoe) lakini Wazazi wakagoma/ ili binti yao apone..''MI Msanii NItamuua kwa Ngoma/what a job is this? lakini ndo kazi...
OYAAAA WAUNGWANA SHWARIII.
EBWANAE HII MI NIMESIKIA TU ILA SINA UHAKIKA ''ETI NI KWELI KWAMBA WASOMI WENGI HASA WALIOKWENDA MPAKA NGAZI YA UPROFESSOR NI WABOVU KWENYE MAMBO FLANI ?" NDIO MAANA...
Weweeeee!!Namshukuru mungu nimetimiza miaka miwili kamili kwenye Ndoa bila ngumi wala matusi,wala kwenda viwanja na vimini!!Karibuni kwenye sherehe yangu!!!Najua kuna watu watasema kuwa ni...
Nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!
Kwanini wanawake wenye magari(PRIVATE CARS) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift...
Wow been gone for month(s)....Abeg ooh narudi nakuta kijiwe kimeingiliwa...kuna a lot of new comers hadi kizunguzungu ni gossip mtindo mmoja siyo the jf i know...Ok people i dey bey you fill me in...
Mimi sijawahi kuchakachuliwa, bado nina utepe, nikajipa moyo kusubiri, siku ya siku ikaja, ndani ya 6 kwa sita, nikakukuruka kusaula mwanaume ule ute ute wa utamu ukaanza kuruka, mtoto katoa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.