Siku zote nilikuwa siamini wala kukubali haya mambo ya TiGo.Na katika maongezi na watu nimejaribu sana kuwa mpinzani wa hii kitu kwa kutomini kama kweli kinaexist.Lakini jana nimechoka...
Du??!!!!!!!
Tena hiii kali
sasa wakuu kuna hiki kisa ambacho sijui mnakionaje
"assume we mwanaume umetoka safari umerudi home ukakuta mkeo anachezewa kifua na mshkaji mwingine utajiskiaje au...
:angry: "Kijana amekumbwa na Mkasa, Mke wake alianza na Kumtuma Baba mkwe aje kwa mume wake waongee matatizo ya Ugomvi wao, bila hata taarifa. Unafungua ofisi unaenda kwa bossi unarudi unakuta...
Nilikuwa sijaiona topic yako ya 6 dec. hehe. Ndio kwanza naiona leo, nimeipenda.Nazani, wanaume weusi sana wa kiafrika na wanaume weupe sana wa kizungu, tabia zao zinafanana sana tu. Sababu wapo...
Know a woman who always seems to be in perfect sync with the guy she is dating - they laugh at each other's jokes, are considerate of one another's feelings, and are devotedly in love (and best...
Siku moja wakati bado nahangaika na ujana niliwahi kupitia sehemu ambapo mtu anaweza kununua huduma.Nilipokagua bidhaa zilizopo sokoni siku hiyo nikaridhika na moja iliyokuwa na miaka takriban...
KIGOGO AMEGEUKA CHINJACHINJA KWA UKWIMWI.
Waziri wa chi ofisi ya Rais, Hawa Ghasia amewatakahadharisha vijana wa kike wanao ajiriwa serikalini kuwa makini kutokana na kuwepo kwa kigogo...
Hivi sikuhizi hakuna kuchumbia?unaanza naye kama mpenzi then unachumbia baada ya kula tunda!lakini mila nilazima uchumbie tunda mpaka uoe sasa ninani alivunja hii mila??
1.Eti mwanamke mfupi sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
2. Eti msichana akiwa na matege sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
3. Eti msichana akiwa na kifua (lakes0) "maziwa" makubwa hata akiwa mzuri...
Kuna watu wanasema kuwa kama mwanaume umetahiriwa unapoteza asilimia 40 ya pleasure unayoipata wakati ukifanya tendo la ndoa. Kuna mwanaume yoyote hapa ambaye alishawahi kufanya tendo la ndoa na...
HI every body.
Nilukuwa nikangalia viewers katika topic nying kwenye JF nikagundua viewers walio kwenye Topics za mapenzi ni wengi zaidi ya mara 100 ya walio kwenye topic za Uchumi,
Swali Je...
1-Awe mzuri wa sura
2-Mwelewa
3-Umbo No8
4-Awe mweupe kiasi
Sasa hapo kwenye umbo ngoja nipakazie kidogo kuna wanawake flani wana kua wameumbika bwana unakuta chuchu mwiba,ukishuka maeneo ya...
Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.