Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Near ones are not Dear, Dear ones are not near, It is easy to remember the near ones,But very difficult to forget the dear ones, NEVER FORGET YOUR DEAR/NEAR ONES HAPPY 1/1/11
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwatakia wadau wote wa JamiiForums heri ya mwaka mpya, nimejifunza mengi na kupata marafiki wa aina mbali mbali toka nijiunge nanyi. Mbarikiwe sna sina cha kuwapa ila naombeni mpokee...
0 Reactions
65 Replies
17K Views
Kitabu changu kina kurasa moja tu, wapenzi wake wote hukipenda milele, hiki kitabu ni bestseller wa mwaka huu, jamani nani kasoma hiki kitabu? Lazima ukipende ukigusa kukisoma.......Hutamani kila...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Utamaliza mabucha nyama ni ile ile ni mzemo mashuhuri sana katika jamii na mara nyingi hutolewa na ile jinsi pinzani ambayo kwa siku za karibu imepanda chati sana hapa Tanzania. Kwa maoni yangu...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Most popular notions about the male brain are based on studies of men ages 18 to 22 -- undergrads subjecting themselves to experiments for beer money or course credit. But a man's brain varies...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"There is no such thing as a unisex brain," says neuropsychiatrist Dr. Louann Brizendine of the University of California in San Francisco and author of "The Female Brain." Despite the trumpets...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
yawezekana wahisi ndoa ni kila mmoja la hasha kuna watu kila wakigusa ama wanachomka kwenye sendoff ama kanisani mtu anachomoa simpendi..jiulize wewe mwenzio kakupenda kwa dhati kaamua kuingia na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ni dereva tax, mteja mmoja ambaye wamezoeana sana na mara nyingi huwa anatumia tax yake kumpeleka sehemu mbalimbali alimpigia simu jioni giza ndo linaanza kwamba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu members wa JF! Hili nimefikishiwa ni tatizo lake huyo X...jamaa anahitaji msaada...ameenda kwa wataalam...wengi kati yao wakamwambia ati ana Jinn mahaba. Nilimkatalia kwa uelewa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Napenda kuwapa pole wale wote walioshindwana na Ndoa na kuamua kuelekea kulsuluhisha mahakamani baada ya Muda mrefu wa vikao vya kusuluhishana kwa wazazi Polen sana sana na Mungu atawalinda na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
waswahili tunasema KWA MOYO WANGU WOTE, Wenzetu wanasema FROM THE BOTTOM OF MY HEART. Maneno haya yana uhusiano wa kiasili? ktk kufikisha ujumbe nadhani yapo sawa But all in all I Wish you all...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF Leo 31 /12 / 2010, natimiza mwaka mmoja tangu nijiunge na jamii I am happy to be part of this family. HISTORY: Hakuna mtu aliyenishauri/nishawishi nijiunge na hii familia. Nilikua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
If a guy really loves a woman,anaeza kumwambia aende kwa mwanaume mwingine?i have seen 2 o 3 cases watu wamegombana na mwanaume akasema hivi..N:B the ladies walikuwa faithful sana..je ni wanaume...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Guys..kama tunavyojua msiba hua haupangwi!Sasa ikatokea siku ambayo ndugu yako ana sherehe ambayo katika hali ya kawaida huwezi kukosa hata kama uko mbali!Siku hiyo hiyo kwa bahati mbaya mwenzi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hesabu kuanzia january 2010 mpaka december 2010 umetembea na viburudisho vingapi? na viburudisho nao je? Wametembea na (Me)....note kutembea mean doing s.x Ni hayo 2..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukiona mke wako muda wote yuko na simu yake karibu ujue kuna jamaa linachakachua. Yaani akiwa jikoni simu pembeni, bafuni simu pembeni, anafua simu pembeni, anakula simu pembeni. Lakini mke...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakati dunia ikiwa katika kampeni za kupambana na janga hatari la UKIMWI, inasemekana kuwa hali imekuwa tofauti katika miji mikubwa ya Tanzania hasa DSM, Arusha, Mwanza, na Tanga. Kulingana na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Women Think About Food More Than Sex: Women think about food a lot—as in, more than they think about sex. A recent survey shows that while 25% of women think about food every half-hour, only...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa MOD's na JF Member wote kama ifuatavyo:- Mod's Nawashukuru kwajinsi mlivyoweza kuendesha mtandao wakijamii bila kuchoka na wala bila...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
DO YOU HAVE ANY HAPPY ENDING STORY. LET US ENJOY IT. IF YOU DONT HAVE, PLEASE TEL YOUR SAD ENDING STORY.
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom