:drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2011
SKIA HIIIII!!!!!!!!!
MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA...
Wadau nami ni miongoni mwa wageni wa hapa,
NAKULA KIAPO:mimi bajabir,naapa kwamba,nitakua mwanajamii hai,nitatoa michango ya kujenga na kuibua hoja madhubuti,nitazngatia masharti yote ya jamii...
Wanajamvi nimekutwa na swaib moja, xgirlfriend wangu ambae tuliachana kama miaka minne nyuma kipindi hicho tukiwa ndo kwanza tumeanza tu chuo leo anadai bado ananipenda,
nakumbuka tulipomaliza...
Poleni na uchovu wana JF!
Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine...
Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora?
Mimi...
Role of the Husband in the Bible"But if any man does not provide for his own, and especially for those of his household, he has denied the faith and is worse than an unbeliever. " 1 Timothy...
Habari za toka mwaka jana wana Jf. Kwanza na mshukuru mungu kutupa uzima. Kuna jambo limekua likinitatiza kwa muda mrefu sasa, sijawahi kupata jibu na nimeshawahi kujaribu kuchunguza kwa wahusika...
Confidence crisis: How the average overweight woman feels humiliated on a daily basis
Last updated at 10:53 AM on 3rd January 2011
Crisis of confidence: The average overweight woman...
Hellow wanafamilia wenzangu, Heri ya Mwaka Mpya kwenu wote.
Huu ndio ujumbe nilionao kwa wale ambao wako kwenye ndoa na wale walioko kwenye mahusiano kwa mwaka huu wa 2011.
Maisha ni...
ndugu wadau wa JF, heshima mbele daima kwenu.
naomba nielekee moja kwa moja kwenye point ya kila kilichonifanya niandike hii post. Mimi nina girl friend wangu tuna kama miezi 6 hivi. Ila tunaishi...
Hili ni tatizo katika jamii yetu!
Japo kila mtu anajua moyoni mwake uzito wa hii Taabu.
Ikitokea mpenzi wako..anaweza kua ni mume au mke...au bwana yako au bibi ya wewe...anaanza kukutishia...
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
Ikiwa demu alokunywea bia zako bar anapotea katika mazingira ya kutatanisha... akiwa amekomba simu zako zote(ambazo zina washirika wako kikazi na data muhimu) na wakati huohuo watarajia simu...
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Hawa vijana watatu wapo Mkoani mbeya maeneyo Lughombo wanajishughulisha na kilimo kama timu, hawajawahi kuoa, sasa wamechoka na maisha ya kibachela kwa...
Kuna siku nilitokewa na ndoto nzuri na ya kupendeza.Usiku huo niliota nipo na msichana mrembo wa kuvutia ambaye kila kijana pale mtaani alikuwa akitamani kuwa naye.Na mimi katika ndoto hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.