Habari wana Jf,
Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana...
Nina jamaa yangu ambaye sera yake ni kufanya mapenzi na housegirl wake. Hoja yake ni kuwa house girl ni spare tyre zuri. Halafu anapata munkari kuona anamwibia mkewe mle mle ndani ya nyumba na...
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.
Tulikuwa tunapiga soga wakati wa kuukaribisha mwaka mpya; moja ya hoja iliyotolewa ilikuwa ni suala la mmoja wetu ambaye alisema kuwa "lazima mke wangu awe msomi bwana, mimi mambo ya kuoa wa...
Wana JF
Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa...
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa...
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!
Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote...
Tafadhali sana wapendwa ningependa kama kuna mwenye kuujua ukweli wa nitakachoandika hapa anisaidie nipate kuujua. Habari ni kwamba, nimepata kusikia mara kadhaa kwamba unaweza kujua size ya nyeti...
Kuna jambo huwa najiuliza kila siku niwaonapo hawa DADA zangu wanofanya biashara ndogondogo kama kuuza KARANGA, PIPI, NDIZI, MAJI, SIGARA n.k
Utawakuta Wamejipodoa sana (CREAM), NYWELE zimepitia...
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa. Kiumri kanizidi miaka 2.
Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi...
'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua...
"Hapa na pale, vuta ni nivutike, ilikuwa pata shika, jamaa aliamua angalau na yeye aweke kumbukumbu katika maisha yake ya upweke kwa kuanza na familia.
Masaa yalipokaribia, kijana alijituma kwa...
Mimi ni mdanganyika (oohps sorry i meant mtanganyika) niaishi Tanga nina miaka 32.
Nina girlfriend wa mzungu wa kimarekani ana miaka 39, uhusiano wetu ni wa miaka 6 sasa, kwa mwaka tunakutana...
Utafanyaje utakapogundua ya kuwa mkeo kumbe ni msagaji.....utamvumilia............utamkanya.........utamwacha.................Hebu soma hii hadithi hapo chini................
When 'the other...
:mad2:
The woman in your life may give you her heart, soul and, of course, her body, but still theres a part of her being that shell never share with you ... stuff that makes her a mystery ...
Mke WA RAFIKI YANGU KAJA KULALAMIKA KUWA KAMUULIZA MMEWE "MBONA KILA SIKU UNARUDI NANE TISA USIKU "KWA NINI?
JAMAA KAJIBU SI USHUKURU NARUDI!
NIMESHINDWA LA KUMSHAURI
WANANDOA PLEASE...
Sex lowers blood pressure and reduces overall stress, according to Scottish research.
Sex keeps colds away. Having sex once or twice a week has been linked with higher levels of an antibody...
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.