i have come to realise that, sex enterpreneurs among versity students is now a normal thing to many youths.
nina wasi2 wasomi wetu tutakua kizazi cha namna gani, na tukabiliane vipi na...
" Wadau, nikiwa nasikiliza baadhi ya maada leo hii, Niliguswa sana na huu utata"
Katika hatua za mwisho unagundua Mpenzi wako amechichora Jina la Mpenzi wake wa dhamani, Mfano I love you AAA...
wataalam wa mahusiano naleta mjadala huku. nadhani ni mahali pake.
Je katika katiba mpya ni vipengele ngapi viiongezwa ,viongelewe, viweje..............
Napendekeza katika katiba:-
zitambuliwe...
Hi wadau,
Baada ya kupiga kazi mwaka mzima katika jiji la Dar es Salaam, Mimi na Mr. tunafikiria kwenda kupumzika Morogoro for at least 5 days,
Naomba mniambie mahali pazuri pa kupumzika na...
Unhappily married ever after
The one way to arrest such an unhappy union is to be very sober and independent while choosing marriage partners. Photo/FILE...
Wapendwa wadau wa Jf, huyu mkaka ananitia hasira sana, ni mtu tunafahamiana kidogo japo hakua rafiki, mara kaamua kutangaza nia yake kwangu, ukweli ni mkaka mzuri tu anaonekana ana moyo mzuri...
Are your friends real or seasonal ?
We all have them. Bosom friends who will defend you with their own lives and fair weather friends who are only with you when the going is...
Kakaz, dadaz, wapwaz/binamuz na Babuz...........Nawasalimu kwa upendo na amani.
Nimekaa hapa nikiwaza na kujikuta napata kigugumizi cha mawaazo.......................mara nyingi nimeshuhudia...
Yawezekana wakati unaoa uliona kabisa ametoka kwa mungu gafla shetwani akachukua nafasi ..sasa basi suluhisho sio kuachana ama kumuacha yupo mungu anaeweza..kanisa la assemblies of god mikocheni b...
Msaada tutani wakuu,wakati kiwinta kimekolea huko nje na hata kutoka siwezi nimekaa hapa sitting room kwangu nafikiria kisa kilichonikumba.Kisa hicho hakina tofauti na kile kilichoimbwa na...
Si kwamba nakutisha la hasha hiyo ndio hali halisi ..yawezekana we unaesoma hapa mama ndie anaejua babako halisi ni nani...kwa kuwapasha tu ndoa nyingi sasa wanawake wanaingia na mimba makanisani...
Ndugu, eti samahani niko na swali wewe uko na mke wako mpya, mtoto wa Mchungaji na kakulia kwenye familia ya kilokole, kutokana na maadili aliyokulia hujala tunda hadi baada ya kufunga ndoa...
Ni mtanashati lakini hajijui, ni mpole lakini wengi wa wasichana hawalijui hilo, Amependwa lakini hajui ampendae, amependa kwa asiempenda.....Ni nani huyo?
Jamani kwenye forum za Jukwaa la Siasa na Uchaguzi 2010 watu wanaparurana. Kumejaa udini, siasa za maji machafu, n.k. Yaani nafikiri watazivunja hata computer zao!
Yaani forum hii raha tupu. Mie...
Kwa wale walioshapata wenzao... na kuoa wanajua uvumilivu ni moja ya nguzo za ndoa... lakini tunajua kabisa kizazi cha sasa sio wavumilivu thats why wazazi wetu waliishi pamoja kwa muda mrefu...
Nashukuru,nimepata mchumba ,kupitia JF, niliweka tangazo kama one month iliyopita, kuna member mmoja akanipa sister yake,tumeelewana taratibu nyingine zinaendelea. Nilipata maombi mengi .
Mdogo wenu nimependa kibinti cha malawi...mara mbili za mwanzo tuliongea vizuri sana...wiki chache baadaye nilipoanza kuonesha kuwa namtamani akaanza mapozi...uwiii..sikuhizi nikigonga mlango...