Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Na kwa nini umdanganye mwanammke siku ya mwanzo unapomtaka kwani utakapomueleza ukweli nini kitatokezea au unahofia nini? mimi sioni sababu ya kudanganya. na kama umesema mwanamke atakudanganya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu, can you tell the importance of kises in love. I know that you know. Angalia hapa. http://kipandula.blogspot.com/2010/12/marriage-series-importance-of-kisses.html
0 Reactions
1 Replies
870 Views
KATIKA zama hizi – kuliko zama zingine zozote – pesa imepewa kipaumbele kikubwa katika suala zima la uhusiano wa kimapenzi. Mwanamke asiyempenda mtu bali pesa si rahisi kujenga uhusiano wowote...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Namsaka mke wanguX2 Hapa hayupoX2 Kenda wapiX2 Kenda kusukaX2 Kenda na naniX2 KashaijabutegeX2 Tumpeleke mnazi mmojaX3 Furahini katika Bwana, nasema furahini. Tuimbe kwa raha zetu. Maisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapwaz na mabinamu! Baada ya kusikia na kushiriki na kuguswa na kuathirika na mikasa; visa, vituko, matukio na adha zinazotukumba wanandoano.......oops WANANDOA! Naomba tupitishe azimio kushauri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanaume wanahitaji mwanamke mtundu, tendo la ndoa ambalo linaleta msisimko, linalofurahisha na kutia hamasa mpya kila siku. Jaribu vitu vipya, mikao, miguso, busu, na michezo ya uwaja wa 6x6 au...
0 Reactions
58 Replies
11K Views
Kwenye mwezi wa Julai tulijulishwa kuhusu upatikani wa mafuta ya kujipaka akina mama na yaweza kuzuia vvu kwa asilimia 50 au hata zaidi........mafuta hayo hujipaka kabla na baada ya tendo la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni story ya mwanamke mmoja ambaye nimekutana naye katika harakati za kupeana ushauri wa kutatua matatizo yanayotusibu katika mahusiano. Amekubali niiweke hapa ili kupata maoni ya wadau...
0 Reactions
151 Replies
12K Views
Mamboz wana JF!!! Duh! Jana ilitokea kali i think ni fundisho tosha kwa mabinti wote wanaopenda kutega kwa ku2onesha matiti yamecmama wakati yameshalala! Mtaani kwetu wakati napata gahawa sumwhr...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwa wale wote dadaz na kakaz ambao wamepoteza watoto kwa njia ya abortion kwa sababu walizoona wao hazizuiliki!:sad: Ohh na wale wanaopanga kufanya hivyo....fikiria mara mbili mbili!! YouTube -...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu JF, Mimi binafsi napenda kunywa bia, naomba kufahamu kwa wale wanywaji hivi utamu na radha ya bia unaweza kuupata katika starehe zingine? kwangu mimi naona hapana! haswa ukinywa windhoek...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
wanajamvi kuna jambo limekuwa likisumbua akili yangu muda wote hasa nikitizama watoto tuliozaa huwa nawaza mambo mengi sana.nakumbuka hapo nyuma tulipokuwa tunakua wengi watakuwa mashahidi kila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WanaJF nina jambo nilikutana nalo nikabaki na swali! Kuna dada niko karibu naye alidivorce na mumewe na wana mtoto 1 apparently jamaa alikuwa homo.. Wakati wametengana the kid was 4 n half mths...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Siku hizi tofauti sana na siku za nyuma, ni rahisi sana kusikia mtu na mwenza wake wameachana. Be it kwenye ndoa au wale ambao wako kwenye mahusiano kuelekea kwenye ndoa. Kwa mfano kwa muda wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Binamu yangu kaowa majuzi tu...shida ni kuwa baba mkwe kutwa simu haziishi kwa mwananwe kujuwa nini kinaendelea...binamu alipofuatilia kulikoni mkewe kamwambia Baba yake anamhimiza asirukwe ukuta...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
nmmmmmmm
0 Reactions
28 Replies
3K Views
WAKUU, HABARINI ZA MAJILIO? naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''..... ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na...
0 Reactions
429 Replies
26K Views
Jamani naomba kuuliza je nisahihi wapenzi/mke,mme kuchunguza cm ya mwenzie? Na vpi kwa yule ambae simu yake ni kama kipimajoto muda wote anayo hataki iguswe. Nawakilisha
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Unlike past years, nowadays you will find husband and wife all employed. However, it is unfotunately that as income of each spouse increases the forces of divorcing is also increasing. Does this...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Jamani eeh mwenzenu natafuta maua tena yale yalokwisha chanua au yanayokaribia kuchanua. Nisaidieni ndugu zangu wana MMU. Bila maua kwangu hakuna maisha.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…