Fellas, what is the best way to breakup with your girlfriend/ boyfriend? By email, phone (sms), phone call, face to face, or do you just give him/her the silent treatment until she/he figures out...
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa...
Mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi. Kwa wengi wetu huwa inatokea either kusahau au kujifikiria wao wenyewe. Utakuta...
Sijui ka kweli lakini jamaa zangu huwa wananambia kuwa malovi davi yasokuwa na fomula huwa ni matamu sana. Yaani ukiwa na demu wako popote muwapo wawili nyie twende kazi. Sebuleni shega, bafuni...
Wadau poleni na shughuli za hapa na pale.Poleni pia kwa mikikimikiki ya mwisho wa wiki.
Nina rafiki yangu kipenzi ambaye yeye sio memba wa JF ila siku moja moja huwa anapitia humu hususani hapa...
we kama mke una halali ya kuomba michezo unayotaka
so kama ukiwa mwanandoa mwenzangu unahisi mumeo katoka nje na we nenda mwombe mungu akuonyeshe macho ya ndani sec nenda omba tunda la roho hiyo...
There was a blind girl who hated herself because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She told her boyfriend, 'If I could only see the...
Je, leo hii ikitokea ukaambiwa una nafasi ya kurejesha bikira yako ya asili ili ipate kutolewa na mtu fulani badala ya yule aliyeitoa, utafanyaje? Utakubali itolewe na yuleyule, lakini katika siku...
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi...
...wale watu wapendao sana kuutetea uzinzi/ uzinifu ni maneno tu na wala si wazinifu kihivyo. Pia wale wapendao kuupiga vita sana ndio wenyewe haswa kwenye hayo mambo.
Unakuta mtu anatembea na...
Baada ya kuambiwa ukweli, lipi lina unafuu kwako?
a) Amekucheat, lakini hampendi kama anavyokupenda wewe
au,
b) Hajakucheat, lakini hakupendi tena wewe kama anavyompenda
Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine...
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani
waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda
kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu...
Jamani, utashangaa unakutana na libaba mtu mzima, ameshafika kwenye 30s, ila bado story zake ni "you know my girl friend", yaani bado anaendekeza tu mambo ya girlfriend. sitaenda kwa wanawake kwa...
Utaniambia leo ulipitia wapi na ulikuwa na nani!
Inasemekana kila mtu duniani ana siri zake binafsi na kuna wakati hapendi mtu yeyote ajue ila ni yeye na Mungu wake.
Si siri tu bali hupenda...
Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga.
eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo...
Siku kama ya leo ndio ilikuwa siku yangu ya harusi with my beatiful, lovely wife . Siwezi kuisahau hii siku kubwa na ya furaha ktk maisha yangu yote. Kila nikikumbuka kiapo pale kanisani machozi...
Nilikuwa ninalipitia gazeti la Tanzania Daima na nikakutana na hii story ya huyu baba ambaye amechukizwa sana na tabia mbaya ya mtoto wake hadi kusababisha kujinyonga..........tukio hili limetokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.