Ndoa nayo ni kazi kama kazi nyingine, Inahitaji commitment ili Upendo, Uaminifu na Amani viweze kuwepo. Lasivyo Inabakia kujilaumu na kuiona Ndoa Chungu.
EVERY relationship has a cycle. In the...
Kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la...
Ktk mahusiano ya kimapenzi ni yupi anatakiwa kuwa mstari wa mbele ktk swala zima la mawasiliano yaani kumkumbuka mwenzi iwe ktk kupiga simu au kutuma sms. Make zipo kesi nyingi kila mmoja...
...Hivi, ni Kwanini?
Mbona kina dada/kina mama wengi wanamatatizo sana kimahusiano na 'mama mkwe?'
---Shida ni nini?---
Mbinu gani mbadala/muafaka huchukuliwa kusuluhisha/kuepusha gogoro hili la...
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko...
Ukiondoa Binadamu( Homo sapiens) kuna jamii yeyote ya species katika kundi la wanyama aina ya mamalia katika mahusiano linauwezo wa kujihusisha na Ushoga au usagaji.?
I mean kuna species...
Kuna siku nilielezea jinsi jamaa alivyo pigwa marufuku na mke wake kushika simu yake na alimwambia akishika ataipasua hiyo simu,sasa jana jamaa kaja tena na malalamiko mengingine, anasema ilikuwa...
One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company.
He passed the first interview, the director did the last interview, made the last decision...
Plz, wana jf" rafiki ana girlfrend, binti huyo anapokuwa naye hamwoneshi mapenzi (her feellings to him) but anapokuwa na marafiki zake huwapa story kuhusu boyfrend wake na kuonesha kuwa anampenda...
Waheshimiwa wana JF wa mikoa ya TANGA, MWANZA,ARUSHA,ZANZIBAR NA MBEYA mimi ni mgeni wenu NITAONDOKA hapa DAR ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa nitakuwa KATIKA anga zenu.
1.ni mgeni kwelikweli na...
For all the friends that you may know who'd
love to know how much you really care.
What better way to say it?
For all the times I needed you
And you were there for me
For all the...
Ndoa/Mahusiano ya wakati huu kusema kweli yamekuwa magumu kuliko yale ya enzi za wazee wetu (at least ndivyo ninavyoamini mimi). Hali hii imenifanya niwe nawaza kwa mtindo wa what if angekuwa vile...
Haya wanaJF, niliwahi ulizwa hili swali na bibie mmoja aliyekuwa amekosana na BF wake. Kutokana na maelezo yake inaelekea yeye bibie ndio alikuwa mkosaji. Kitendo kilichompelekea BF kununa. Baada...
A Wife is Dreaming in the middle of the night, and suddenly shouts " Wake up..........Wake up, my husband is back!"
The man on the bed with her got up, jumped thru the window, broke his legs...
Ni kwanini kwenye mahusiano wanawake ndo wanaongoza kusababisha mume kukosana na ndugu zake,wazazi , rafiki au mume kutowajali tena ndugu zake na wazazi wake pindi Wanapoowa au hta kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.