Nakumbuka kuna wetu walikamia safari ya Dom hadi wanataka kutoana macho...
Tulijitahidi kuwapoza na kuwapatia ushauri (kama kawaida ya wazee...ama kweli uzee dawa) ili mambo yaende salama. Sasa...
People say there is no difference between COMPLETE & FINISH...
But there is. When u marry the right one, you are COMPLETE....
And when u marry the wrong one, you are FINISHED.....
And when the...
Habarini za mchana waungwana wa JF, leo nimelileta hili mezani ili tujadili maana watu wanakaangika katika jamii yetu. Hivi jamani inapotokea wazazi wako wamekulazimisha kuoa au kuolewa na mtu...
Heshima zenu wote wana JF.
Hii ni story ya kweli. Jamani naomba ushauri kwa sababu mwenzenu nimechanganyikiwa. Nina mchumba wangu ambaye nimefahamiana takribani miaka miwil sasa. Miezi sita...
Mwenyezi mungu awatangulie katika sherehe hii njema ..
Mialiko tushapata pia karibuni kwangu Pilau supu kasoro wale wanaopeleka maji ya TBL kinywaji chenu hakitakuwepo ,soda na juice kwa wingi
Ndugu wanaJamii. Natambulisha kwenu hii blog mpya ya mapenzi, michezo na mambo ya kijamii. Lengo la mtandao huu ni kutoa huduma ya elemi kwa wapenzi na wanandoa pamoja na mambo mengine yanayohusu...
Hivi hii dhana kwamba mwanaume ili amridhishe mwanamke kimapenzi ni lazima awe na bunduki kubwa ilitoka wapi?Au ni kweli wenye bunduki ndogo hawawaridhishi ndo mkaanza kulalama mkawapa dili...
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.
Jana nimeenda...
Jamani mimi nina Demu mmoja nilikutanishwa naye kwenye maswala ya bihashara ila wakati huo nilikuwa na interest na huyo aliye nipeleka Baada ya kukutana na huyo Demu nimzuri biashara ikafanyika na...
Kwenye ndoa kuna vibweka sana,ndoa ikiwa haina mtoto utasikia ooh ndoa haijajibu,mara mwanaume hajui shughuli,mara mawifi nao wanakuja juu wakidai wifi yao mgumba,mara mashemeji nao wanakuja juu...
Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.