Hivi kwa upande wa akina dada inatokea na wao wakamtazama kijana na kumtamani kimapenzi kama wanaume itutokeapo?Mfano unaona makalio au mguu au kifua ukastukia mwili unasisimkwa,je na akina dada...
Itakuwa vyema kama wana JF tutaanzisha dating hapa jukwaani, itasaidia watu kuelewana zaidi, wenye bahati zao wanaweza kujipatia wachumba. Ni maoni tu!
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe...
Hivi ukiwa na mpenzi wako mpokwenye vituz lakini ukastukia anajifanya anakosea njia utamfanya nini??na ukamwuliza akakueleza plse kiduchu!utamfanyeje?Nando unampenda!!
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye
Ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa...
Viruka njia husemwa sana,
Lakini hao hao viruka njia hufuatwa na wanaume wengi na hawakosi wanaume kabisa,
Leo huyu, kesho yule.......
Hivi wanamvuto sana au ni uchawi wanatumia kuwanasa hawa...
Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya...
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na...
Moja ya makosa wapendanao hulifanya ni kutaka kumbadilisha mwenzi wako kutoka tabia aliyonayo awe kama vakavyo,for your imformation hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumbadilisha binadamu...
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili...
Jamani naona wanawake wengi wanalalamika kuwa njia zao za uzazi sometimes ni ndogo, eti wafanye mazoezi, eti kwsbb ni mtoto wa kwanza, nk hivi vina ukweli kwa almost 20%, ila ukitaka upata mtoto...
Baadhi ya warembo wa bongo huamua kuachana na wapenzi wao mara tu wanapopata umaarufu. Baada ya hapo huanza kujilengesha kwa watu maarufu na wazungu ambao nao wana mademu lukuki. Ndio maana kila...
Fikiri kwamba wewe ni dada mkali unalipa mbaya,umeolewa na kijana handsome ana mihela ya kufa mtu,siku moja unatoka kwenye mizunguko yako town,unapaki gari unamkuta mumeo anamegwa tigo tena na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.