Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego...
Umeolewa na mmeishi kwa muda(miaka) mwingi, mumeo ni askari/Mwanajeshi kwa hiyo kuna kipindi anakuwa zamu ya usiku. Siku mmoja ukaja kustukia kuwa mumeo anajihusisha na mambo ya ujambazi nyakati...
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona...
Wanandoa hatarini zaidi kuambukizwa VVU Send to a friend Thursday, 11 November 2010 20:31 0diggsdigg
Fredy Azzah
MWENYEKITI Mtendaji wa Tume y a Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Fatma Mrisho...
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini)
Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa...
Umeenda kusoma Kenya kwa muda wa miezi 6,nyumbani umemwacha Dingi na mkeo,unarudi unamkuta mkeo ana ujauzito kwenda kupima unakuta ujauzito una miezi 4,akili zinakuruka unamuuliiza mkeo anakueleza...
Etii :peep: wamo:caked:wanao nanihino ?? Au kunanihiliana ?? Yaani mnakutana kwa ufupi mmeanziaa hapa JF na kuendeleza huko nje kikamilifu ? kupependana mapenzi yaani natumai mmenielewa .
Waku mimi ninajiuliza kwanini walioko kwenye ndoa wanataka kutoka na walioko nje wanataka kuingi wakti kilasiku wanasikia mikiki mikiki kilasiku kwenye vyombo vya habari hata kwenye mazingira...
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;
Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee
Mkufu unaovaliwa...
Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA...
Kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni...
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote...
Wapwaz na Binamuz wote.
Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama.Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote kwa namna moja ama nyingine mmeshiriki kufanikisha uchaguzi wa mwaka hu popote...
Wengi huhofu kurudiana na wapenzi wao wa zamani kwa madai ya kuwa atakuwa amemtegea kitu kibaya au marejesho ya majeshi haya hayana nia nzuri ila kuja kumkomoa............lakini mara nyingi...
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi
au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean
wanawake wengine wenye urembo na mvuto...
halafu wewe mwanaume ukawa unatazama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.