Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habarini wapendwa, ni masiku tele yamepita bila kuonana/kusalimiana!habari lenu bana! Nimerudi tena jamvini!Nilikuwa kwenye mafunzo ya jando, kule kwetu kwenye sato wengi! Tuendeleze soga kama...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekuwa na tabia ya kufanya punyeto na ni kwa muda mrefu kiasi kwamba hata nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume!! Hivi kuna tiba gani mana ninapokutana na mwanamke kileleni ni dakika 2 tu. Lakini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Yaani we wacha tu !! Wanasema harufu ya mwili inazidisha mavalangati ya majamboz ,vipi hii ni kweli ?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza tu jamani eti wakati tulalapo usiku tukivaa nguo za kulalia hupunguza kasi na hisia za lile tendo? Ni swali tu!
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Dearest................................................, I am very happy to inform you that I have fallen in love with you since Tuesday, the 4th of November 2010 With reference to the meeting...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Nina mdogo wangu wa kiume. Nimemsomesha mpaka IV, sasa mkorofi, nilikuwa naishi naye dar nikimsema afanye shughuli za ndani au atafute kibarua anaona upuuzi nilimtimua akakimbilia kwa ndugu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau habarini ya majukum ya hapa na pale, jamani nimekuwa nikipatwa na wivu sana nikiona rafiki zangu wakiwa na watoto wao mapacha, hivi kuna njia yeyote ya kuweza kupata watoto mapacha au ni...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wanawake/Mabinti wenye hela! Pesa! Mkwanja! Kisu! Mshiko! Ngoma droo
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Jamani wana JF hasa katika safu hii, sasa niombe tu utaalamu wenu kuhusu yepi ya msingi sana katika kufanya ndoa iwe imara daima. maana kuna yale ya chumbani, mitoko, mishiko na mavazi. sasa je ni...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Asalaam aleikum, bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, kristo, mambo vipi wanaJF natumai mmeamka salama. Jana nimekutana na mkasa kwani huku nilipo kuna sehemu inaitwa uwanja wa fisi akaja nsichana...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamani duniani kuna mambo Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba Tatizo rangi ya kiraka sasa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nachanganyikiwa hapa, ivi sikuhizi akinadada ni hale tu ndio muhimu kwenu ......:sad: Katika kumtafuta the significant other (yaani mke). Nlikuwa namsikia anti hapa Analonga na mwenzie...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, BF au GF hali inakuaje hapo? uasilia wa tukio la fumanizi
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nijambo la kawaida siku hizi kuona mwanamme kuwana mahusiano nje ya ndoa yake vyihivyo kwa mwanamke kuna mahusiano ya nje na mwanmume ali kadharika kwa wapenzi mwanamke anakuwa na boyfriends zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi wana umme wenye (Kibinda)Wapenzi wao ujisikiaje katika jamii??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Demu anayepiga kilaji (pombe) kwa sababu 1. Ni rahisi kumchakachua 2. Hushea mazungumzo na kuwa muwazi zaidi wakati kilaji kimekolea 3. Hupoteza aibu hasa wakati wa majambozi 4. Huzidisha mayowe...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Father arrested for defiling daughter Source: http://www.dailynews.co.tz/home/?n=14418&cat=home From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010 A 50-year-old resident of Usa-River in Meru...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom