huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha...
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii...
JAMANI, hivi huyu mdada anayeitwa jina hilo hapo ni nani?
Kwa wale wanaomfahamu, anayo blog yake fulani hivi, na anavyoandika, nimeshindwa kumpima ni mwanamke wa kisasa kiasi gani, ana pepo la...
Habari za asubuhi wapendwa....
Nilipoamka leo asubuhi, niliamka na hii kumbukumbu kichwani - kitu kilichotokea several years ago...it was funny somehow but quite embarrasing!!
Nilikuwa chuo na...
Jamani nijulisheni.....hivi mnapokuwa kwenye majamboz halafu unaona wakiume anamuwekea vidole huko kwa nyuma wa kike ni sawa na tigo au huwa ni mbinu tu za mtu kutaka kumridhisha mwenzi wake?????????
10 Things Your Mother-in-Law Wants to Tell You
By Denise Schipani
Poor mothers-in-lawthey always seem to be the brunt of the joke (think: Marie Barone in Everybody Loves...
Wana jf
Niko katika wakati mgumu. bosi wangu ananitaka kimapenzi, nimejaribu kumpotezea naona nakwama. sasa ameandaa safari ya kikazi mimi na yeye tu, halafu hataki twende na gari, anataka tukwee...
Kiuhalisia kumpenda mtu kiukweli ni kumpenda bila masharti,hii maana yake ni kwamba umkubali kama alivyo,cha msingi ni kuangalia zile tabia ambazo haziwezi kuhatarisha maisha yako kama vile...
Kwa kawaida bidhaa inapokuwa dukani ili inunuliwe inabidi uiweke mahali inapoonekana ili iuzwe,sasa nawauliza dada zangu mnapovaa nguo za kuonesha maungo yenu nyeti mnakuwa mmeweka bidhaa...
Umemtamani mpenzi wako au umempenda??Umevutika kwake kwa sababu,ana miguu mizuri?Au ni englishfigure?Au ni handsome au ni tajiri,au ana makalio mazuri,au ana rangi nzuri,au anatoka famij tajiri,au...
Hivi umewahi kujiuliza hasa maisha ni kitu gani?Au unaenda enda tu?Je maisha ni kusoma,kuoa/kuolewa,kupata watoto kuzeka kisha kufa??Au kuna kitu kingine kinatakiwa kufanywa ili kukamilisha kitu...
Fikiria unamkuta dem wako analiwa denda halafu jana uliwaambia marafiki zako unataka kumvisha pete ya uchumba,na wakati unamuona ndo umetoka kununua pete!!Utaimeza au utaitafuna????
Kinadada nawauliza ivi kuna watakati mnakuwaga na hamu ya kuwakamua (toa cream) waubani, yaani kwamba leo najisikia kumkatia mauno wangu mpaka ajue kwamba nae anamke. Ati wanasema wanaume ndio...
Nimewahi kusoma sehemu fulani,kuwa watu wenye majina ya Rose huwa na matatizo katika mahusiano,aidha ndoa huw a na migogoro au kutoolew kabisa.Baadaya kusoma elimu ile nilifanya utafiti mdigo kwa...
Ni wazuri mno
Umbo namba nane
Wana rangi ya ngozi nzuri sana hasa ukielekea kunako
Wanajua sana shughuli ya majamboz
Wana joto la kutosha
Wachapa kazi sana
Wanajua kukuweka sawa kihisia...
nawasalimuni wote mabibi na mabwana.
Jana nimekutana na classmate yangu fulani tulisoma naye halafu alivyoondoka nikajikuta napata swali.
Huyu classmate yangu ni wale wanaovaa hijabu ya kufunika...
Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.