Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi mtu umeendazako bar Unapata kinywaji na washkaji Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako ooh Je unamwamini sana..? ooh mkeo ni mtakatifu eeeh? ooh mara mkeo sijui vitu ganii...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani hapa JF watu tunakuja kupunguza stress, tumekerwa na wenzi wetu, tumekerwa na mabosi na mengine mengi. Kwa upande wangu huwa baada ya kero kama hizo naingia JF mara moja kupunguza hizo...
0 Reactions
292 Replies
17K Views
“ Dear naomba uje “ “ nije ? kuna nini tena mama Vanessa ?” “ wewe njoo wasi wasi wako nini ?” “ sawa nimeshakuja nieleze mama Vanessa “ “ Unakumbuka nilivyokuwa nakuambia naumwa sana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwalimu wangu Rose kakataa leo nisijibu maswali yote ya darasani!!!!haya nipo break kwa muda!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume alinisimulia kisa kimoja kilichomkuta aliposafiri kikazi na dada mmoja ambaye wanafanya naye kazi pamoja na wanaheshimiana sana kama ifuatavyo. Walikodi vyumba...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all. Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba kinadada mtusaidie. Toa mfano na...
0 Reactions
99 Replies
9K Views
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hi wana JF, napenda niulize kwa wazoefu maana hapa ni kujifunza. Hivi mwanamke baada ya kujifungua anatakiwa akae muda gani kabla hajaanza kukutana kimwili na mmeo tena?
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yaliyojiri sikukuu ya idd B/F akamualika G/F aende kwake kumtembelea gf akaenda baada ya muda bf akaaga naenda mjini mara moja halafu akatoa mzigo akamwambia usitoke kuna rafiki yangu atafuata huu...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
WanaJF habari za mapumziko ya kusheherekea Eid! Mama kubwa anapenda kujua jinsi ulivyosheherekea....ulikuwa wapi na ulikula nini
0 Reactions
130 Replies
8K Views
Jamani tunakumbuka Mpendwa wetu Da sophy alitoka hapa anaenda kujifungua jamani mwenye nyeti zake!Aagh sorry taarifa zake atujuze kama mpwa ameshaanza kutembea??:israel:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndugu za kuna rafiki yangu mmoja (binti) amebahatika kupata mchumba kwa sasahivi binti anasoma chuo kikuu ndio anaingia mwaka wa tatu sasahivi, mchumba wa huyu rafiki yangu sasahivi anataka kwenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamini naombeni mnisaidie hapa ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa) je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari ya wakti huu wapendwa wa jf,jamani ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu inshu ni very serious kwa hiyo wale watu waliotajwa na maty kuwa wanakera ni bora wasichangie. Nina rafiki yangu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu...
0 Reactions
92 Replies
11K Views
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na...
0 Reactions
153 Replies
10K Views
wana JF unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa asilimia kubwa wanandoa wakiwa wanaelekea kazini/mahala kwa wale waliojaliwa usafiri/gari huwa wanauchuna ndani ya gari sana. Nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini? hata ukibahatika siku hio...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi kwa mfano una GF/BF wako ambaye mlikutana baada ya kumaliza chuo/shule, lakini ikatokea kuwa kila ukikutana na mtu ukiwa naye, ambaye aliwahi kumfahamu, labda huko sekondari au chuoni, na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wewe ni dada mkali una umbo la ukweli halafu una shoga yako nae mkali lakini hakuzidi wewe,huyo shoga yako ana boyfriend handsome mwenye vigezo ambavyo unatamani umpate boyfriend wa namna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom