Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi... Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, JF ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... hili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Yule Gavana wa Bank anayeshutumiwa kubanjuka na First Lady wa Zimbabwe (Grace Mugabe almaarufu kama Dis-grace Mugabe) sasa ameingia mafichoni akihofia usalama wa maisha yake! Inadaiwa kwamba...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mahitaji yake! Kama ni mwanandoa ambaye unataka kuwa na ndoa yenye furaha, inaweza kuwa ndiyo kwanza unaanza maisha ya ndoa, au unaweza kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu na ndoa ipo hali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tukiendelea kusubiria serikali mpya chini ya uongozi mpya si vibaya tukapunguzia stress humu. Kuna wanaume ambao wakiachwa na mwanamke, haijalishi ni mke/demu wa mtu/best, wao lazima watupe neno...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ikiwa mke wako wa ndoa anayefanya kazi inayofanana na yako anatoka saa kumi na mbili asubuhi kuelekea kazini na kurudi mara saa tatu, saa nne, saa tano na wakati mwingine saa saba za usiku na hana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
WAPENDWA SANA, taarifa mbaya kabisa ni kwamba yule mmoja wa wahanga wa ajali aliyekuwa hoi sana AMEFARIKI DUNIA. sasa kwakuwa maskini_jeuri ndiye alikuwa dereva wa ile gari,ana ya kuendesha gari...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Kuna mmke anaiba mme wa mtu na kamganda mwenye mme kwa urafiki wa kinafiki kiasi kwamba mwenye mke kamuamini mno mpaka inatia huzuni,na hawa wote ni WATZ hivi rohoni unajisikiaje kwa ushetani...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza...
0 Reactions
83 Replies
13K Views
mi ni graduate from UDSM bachelor of commerce natafuta kazi ya accountant
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeitumia sana na mpenzi wangu na imenisaidia sana kuzuia mimba na kupata mtoto mmoja kiume na wa pili wa kike kama tulivyoplan na shemeji yenu na inanisaidia sana kwa nyota ya kijani kuliko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MSN UK News/PA, 25/10/2010 14:07 Woman set to marry herself An office worker in Taiwan is to tie the knot with herself. PA Photo Chen Wei-yih, 30, blames social pressure for the decision. She...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. Kitu ambacho kilinifanya nishi peke yangu nilikuwa naogopa ukimwi. Na vile vile nilikuwa naogopa ugomvi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
What is it? It's estimated that 6 percent or more of the population experience sex addiction - and 1 in 5 are women. Maybe if you look at the sheer physical damage that addictions such as...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu napata tabu sana na rafiki yanu mmoja wa karibu... sasa mpaka mimi nimeanza kukoas imani na amani maana rafiki yangu anaendeshwa kweli na mamsapu wake Mama anashindana na kila rafiki wa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya wanaume tena wengine wababa wazima wakuwa na wajukuu majumbani wakiwa sehemu zenye watu wengi bila kujali mazingira au watu aliokaa nao wanaheshimiana vipi,akishaona wanawake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa...
0 Reactions
142 Replies
10K Views
Jamani jamvini, Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine. Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
There have been many reasons why marriages have been unstable of recent. One reason is that men find it impossible to cope with a woman who gives them no space. New research has found that women...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wapendwa mabinamz na wapwaz! Namshukuru Mungu kwa kuniokoa katika ajali iliyonipata juzi usiku nikielekea Iringa katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi umbali wa km 7 toka Mikumi mjini, Kwenye...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Kuna dada mmoja anaefanya kazi ofisi ya jirani ambaye huna tunakutana wakati wa kula na tumezoeana nae na hula pamoja na kupiga stori za hapa na pale.Juzi kaja akiwa mnyonge sana nikamuuliza vipi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…