kuna dada mmoja namfahamu toka siku nyingi lakini siku hizi nimetokea kumpenda lkn naogopa kumwambia. Dada mwenye ni msomi kiwango cha mwisho, mstaarab, 36 yrs old na ana uwezo wake lakini yuko...
The wife says: You want
The wife means: You want
The wife says: We need
The wife means: I want
The wife says: It's your decision
The wife means: The correct decision should be obvious
The wife...
Meli yao imeingia hapa dar TZ na wamekuja kutoa matibabu bure! Hivi ni matibabu ya waathirika wa dawa za kichina kukuza maumbile ama magonjwa yepi hayo? Jamani wadau tambizane maana maumbile...
helo guys how r u?
natumaini wote nyi mko vyema kabisa....kwa wale mliokwisha oa aina shaka hapa ni kwa kuwakumbusha wale wanaotarajia kuoa jamani ndoa nyingi za sasa zimekuwa...
WIVU wa kimapenzi wamsababishia ulemavu wa maisha mkazi wa Izia Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa Grace Senga (29)baada ya kungatwa ulimi wake na kipande kutolewa wakati wakigombea bwana...
Kuna siku niliamua let me treat my self out....nikaenda club....sasa kufika club nikamwona mrembo moja mzuri...nikawa namtizama nahisi akawa na yeye kimpango wake amevutwa akaja dancing floor...
NIMEJICHUBUA,JE KUNA DAWA YA KURUDISHA NGOZI YA ZAMANI?
(hebu ona madhara ya kumkosoa Mungu,turidhike na alivyopenda tuwe jamani)!!
mimi nina miaka 31, na mwaka 2000 baada ya kutoka tanzania na...
Chorus: Ya nini malumbano, ya nini maneno
najiweka pembeni naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie X2
Washkaji walinambia kwamba demu ni...
washkadau poleni na michakato ya maisha ya kila siku.Wana jf wenzangu nawaomba tu ni wagusie hili kuwa wachumba haswa unaotegemea kuoa hawatafutwi elctonicaly haya mambo yanatkiwa manualy ndio...
Sijui kwa nini huyu jamaa yangu wa karibu sana afya ilipokuwa swafi hata kanisani alikuwa haendi na alikuwa gwiji wa fataki....................sasa mpira umemgeukia aumwa kisawasawa sasa...
Nilitokea siku moja nipo na mdada mmoja ambaye aliweza kuwa muwazi kwangu kwa kiasi fulani baada ya mimi kutumia mbinu fulani ya kumdadisi kuhusu jinsia yao....! Kwa mujibu wa maelezo yake...
I got this from somewhere... thought it might be helpful to some of us....
Lakini pia it could be more helpful kama tutapata experiences from those who are already "married"....mnafanya nini...
Jamani najisikia wivu sana huyu x anavyozoeana na mume wangu, ameolewa ana mtoto, akihitaji ushauri lazima amconsult mr kwanza, hata kuapply kazi mr amsaidie kuandika barua. Ni wivu tu unanisumbua...
Siku chache zilizopita tuliona ni jinsi gani mke anatakiwa fanye ili amfurahishe mumewe. Wadau wengi wakashauri pia itolewe kitchen party kwa ajili ya wanaume tu, alimaarufu kama SEBULE PARTY...
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata...
Unajua nahisi watanzania wengi tumeshindwa kuelewa maana ya ufataki..nimejaribu kuangalia na matangazo yao wanayosambaza na kama nihivyo basi ndg mpoto ..hao wahusika waambie ukweli mafataki wa...
A young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist, "Hello,
could you give me condom. I'm going to my girlfriends for dinner and I think I
may be in with a chance!"
The pharmacist...
Umeiona hii?
Source: Yahoo Friends
Read Each One Carefully & Think About It a Second or Two
1. No man or woman is worth your tears, & the one who is, won't make you cry.
2. Just because...
Unakutana na msichana club,library,church, siku hizi shopping malls Unamtongoza mnakuwa katika relation na mnafanya mapenzi ndio vijana wasiku hizi walivyo lazima wapime, miaka ya nyuma wanaume...