mimi ni mama wa miaka 33 natafuta mwenza wa kuishi nae, nini watoto wa2 ninaishi pekeyengu kwa miaka 9 sasa.mume wangu alifariki kwa ajali ya basi wakati anakuja kuniangalia nilipojifungua...
Kuna rafiki yangu wa karibu anataka kumfanyia engagement surprise mchumba wake juzi alikuja kuniuliza if I have any idea how do it and make it unforgettable nikampa some ideas nikaona pia itakuwa...
wandugu.. kwann matumizi ya simu ni moja ya vyanzo vkubwa vya migogoro kwa wapendanao? na kwa nn wengi wao wanafanya maamuzi magumu ya kuvunja mahusiano kwa ushahid wa simu? Zisingekuwepo je...
Nikiamini kuwa hili ni jukwaa la walio kwenye "age of majority", na wenye afya zao za kibaiologia, hivyo, wengi wetu wapo na wapenzi wao (yaani barafu za mioyo yao), na hata kama kwa sasa haupo...
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.
Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba...
I've learned that no matter what happens, or how bad it seems today,
life does go on, and it will be better tomorrow.
I've learned that you can tell a lot about a person by the way he/she...
Sijui kwa nini lakini nahisi kuna cold war kati ya wanawake wenye "videgree" na wale ambao hawakufanikiwa kuvipata hivyo videgree. Nilifatilia thread ya da sophy kuhusu ofa au discount kwa shemeji...
Nakumbuka kitaa kipindi hicho wakati redio ni dili kubwa.......
Tena tulikuwa tunaita redio kaseti halafu swali linalofuatia hapo ni "Redio yako ina bendi ngap?!!"......................
Mwingine...
Mrembo uko bar mchana wapata raha na mwandani wako(ambaye hamna hata mwaka ktk mapenzi).. unajckia kwenda maliwato kutabaruku.. wamuaga mwenzako, unanyanyuka na wageuka kuelekea chemba.. Ile...
Hivi ile sheria iliyotungwa kumkandamiza mwanaume anapomkonyeza mwanamke ilikuja ishia wapi?
Wadada mtusaidie je, nikweli kwamba mwanaume akikukonyeza anaamsha hisia/mshawasho wa kimapenzi...
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,,
ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii...
Kuna huyu jamaa rafiki yangu mara kwa mara amekuwa akija kutafuta ushauri kwangu, mara ya mwisho kaniambia kuwa kila akilala na mkewe anawaota ma-ex wake nikashindwa kumsaidia, juzi kaja kuniambia...
Wana jamii kuna ukweli wowote kuwa wanawake wakiwa katika siku zao wanakuwa wakali zaidi kuliko siku zingine wakiwa kawaida. Nimeliona hili kwa mwenzi wangu, akiwa siku zake ni kitu kidogo tu...
TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS
1 Bachelor Husband
These are men who
Love to do things on their own without consulting their wives
Love to hang a lot with their friends rather than...
Eti jamani kuna hili swala mimi nashindwa elewa iweje mahusiano ya kimapenzi ya viongozi yatumike kama sera za vyama vingine.....ooh! Dk.slaa ana mchumba oo! kachukua mke wa mtu.....kwani hawa...
THIS IS A SORT OF A BALANCE SHEET! CHECK OUT YOUR POSITION
TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS
1 Bachelor Husband
These are men who Love to do things on their own without...