Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu heshima mbele.... Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni mara nyingi kumkuta/kuwakuta watu wakiongea in a negative perception kuhusu nyimbo za taarabu mbele ya watu!utakuta mtu akisema, "ooooh unajua nyimbo za taarabu mimi sizipendi kabisa kwani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tiger Woods na Mke Wake Wameachana Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF inawezekana mapenzi kati ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume kwa miak mitano kufaulu?Why or Why Not?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Do you know the 7 deadly lies that women are taught about men? Do you know that these beliefs cause more problems in relationships than most women realize. What are these lies? Lie #1 Men are...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kidogo kuhusu hii hali ya wanaume walio wengi kuonyesha interest ya mapenzi kwa akina dada wenye makalio makubwa. sina hakika kama ni tamaa tu au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
C/O Mwenyekiti wa E.K Shule ya Msingi Mtakuja S.L.P 76 Makelenge Stendi Mpendwa Belinda, Kwanza salamu,ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna wana JF wamepotea sana jamani..... where is Geoff, Chrispin, Bht, preta etc.......
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, Je, ni kweli haiwezekani kupenda sawasawa na jinsi wewe unavyotaka upendwe? Who ever loved exactly the same as he/she wants to be loved?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Look at how a group of men behave every time a woman (or women) passes. Chances are that their eyes will follow the woman until she disappears. It is as simple as that - Men will always...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari wana JF Naomba msaada maana hapa nilipo nimekaribia kuchanganyikiwa baada ya kutendwa na mtu niliyempenda na kumuamini sana hapa duniani.... Mimi ni mama wa mtoto mmoja lakini nina...
0 Reactions
258 Replies
18K Views
Asalaam al-yhikum jamii!!!-Usiulize::lol: Hivi kunaukweli kwamba wanaume wapatapo kibrudisho cha nje hukuta anaelemewa nakupoteza mwelekeo nakukuta kiburudisho kinakuwa na nguvu kuliko wife...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr. NN, umeshasikia Pink pill inayoitwa Flibanserin? if not please read the information here: The Tyee – The Sex Pill for Women Flibanserin - Wikipedia, the free encyclopedia Ningependa...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Waungwana; Naomba maoni yenu. Kwa mtazamo wa Kiafrika (au niseme labda wa Kitanzania) wa jadi hoja ya mwanaume kuwa na mwanamke mpenzi mmoja tu ni ya zama hizi au toka kale? Nimekuwa nikiulizia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu mwenye umri wa miaka 29 katika kuhangahika kwenye maisha ya mapenzi amefanikiwa kupata mwanamke ila huyo mwanamke aliishawahi kuolewa na akabahatika kuzaa mtoto mmoja bahati...
0 Reactions
136 Replies
11K Views
Habari wana JF?!! Ndoa yangu ni changa sana, ina miaka minne tu but we spent almoast six years in relations before marriage. Nimesomesha huyu mke kuanzia diploma hadi degree na mwenzangu kawa na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
katika pita pita kwenye net nikakutana na hii PART 1 proof woman=problems Part 2 Part 3 Part 4 Part 5 Hivi ni kweli au?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
You either Take it Or Leave It!lakini naomba mtupe nafasi ya kuwashauri.....! inawezekana sio wote,au si wewe unaesoma hii thread lakini WENGI WENU wana udhaifu mmoja mkubwa sana na MDOGO SANA...
0 Reactions
116 Replies
11K Views
Would you quit wearing wedding rings after your spouse died?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana JF Kuna jamaa yangu (hajaoa) katika kuruka ruka na njia amekutana na demu mmoja mzuri sana kwa sura, ana shepu nzuri ya kumfanya m/ume ageuze shingo akipishana nae ana kiuno cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…