Ndugu Jamaa na Marafiki
Sijaingia kijiwe hichi siku nyingi kidogo muda mwingine tuko kwenye vijiwe vingine hongereni kwa mafanikio yaliyofikiwa na kijiwe hichi kwa miezi michache iliyopita mpaka...
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana...
TRUE STORY in the late eighties, DSM:
Kuna huyu bwana mwingine daktari ambaye alikwenda kusoma Urusi digree ya pili. Alikuwa anakaa Flat moja na daktari mwingine milango ikitizamana. Wake zao wote...
Je wafahamu 'ma- cougar' ni akina nani?!
Bila shaka Mack Lessons zilizoletwa na BRAZAMENI (https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=11407) zitakuwa zimepata majibu kinamna yake...
wewe ni mwanamke/mwanaume una rafiki ambae mlipatana sana na kuheshimiana. wewe umeoa/kuolewa nae pia ana mwenzi wake, sasa inatokea kwenye ndoa yako kuna migogoro mingi inayopelekea hata kuiona...
'Noisy sex' Wearside woman spared jail for second time
Page last updated at 18:11 GMT, Tuesday, 29 June 2010 19:11 UK
E-mail this to a friend
Printable version
The court heard the noisy...
Hii habari imenifanya nifikirie sana. Hivi huyu dada alikuwa na ugomvi na hili vuvuzela? Haiwezekani kweli kulipuliza kwa raha bila karaha na ukatoka mwenye furaha? Naamini wakati mwingine watu...
Angalizo;maneno yyenye msaada
wanandugu ni wakati mzuri wa kujiandaa na maafa badala ya kuanza kukimbilia ma jaketi na mengineyo wakati watu wanakwisha
incase umefika lodge ukaenda kuoga mara...
Kwenye foleni muda wa kwenda ofisini ukiona mwanamke yuko na mwanaume
halafu wana nyuso za furaha, wanaongea kwa kucheka na kwa upendo, ujue
hao ni ma boy friend na ma girl friend, au mtu na...
Parents, children are a photocopy of their parents character
You are the hydro power dams from which they
Can tap the power of living light.
But if the dams are empty of values, and the water...
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......
Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????
Not that i am proud of this but mara...
Huyo dada yuko wapi? Nilizoea kuona michango yake moto moto na mingine niliiona kama yenye utata vile. Ni muda mrefu sasa sijamwona jamvini. Kapotelea wapi jamani?
Hope ni mzima na anaendelea...
Helo wadau,
Poleni na kazi,
Naombeni mnisaidie, Mume wangu ana tatizo la kutoka vipele kwenye kidevu anaponyoa, inapelekea uso kuwa na makovu fulani, Nimemshauri awe anaenda saluni kunyoa na...
Habari wana JF?
Mambo mengine yakijadiliwa hapa ndugu zangu unaweza kudhani ni ya kutunga lakini kumbe yapo, hii ni live imetokea kitaa juzi!!
Kuna jirani yetu hapa ambaye huwezi dhania ila...
Wadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake...
A sinusoidal curve is the graph of the sine function in trigonometry!...
In my four months of marriage i have come to learn that UPEPO-WA-NDOA
is a sinusoidal-curve.
1-KUNA WAKATI MAMBO...