Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

It is so decided, that from now on and in perpetuity, singularly and categorically, the following rights are to be accepted fully by all persons in a loving, romantic, and exclusive relationship...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf? hope mu wazima. Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea. Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Naomba kuuliza kwa w/ume hasa waliooa Sisi uwa hatuna vitu kama kitchen Party za kufundishwa, Je tuishije na hawa wenzetu? 1. Kwa kumpa uhuru m/mke wa kupanga mambo yote ya kifamilia? 2...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
TAKWIMU HIZI ZIMENIFANYA NITAFAKARI.NDOA HUWEZA KULETA HATARI ZAIDI KULIKO KINGA DHIDI YA UKIMWI: "According to the data from Tanzania HIV AIDS and Malaria Indicator Survey (THMIS) 2007-2008, the...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wapendwa nina rafiki ambae pia ni jirani yangu. Urafiki ulianzia kwa mtoto wao wa miaka 4, tukafahamiana na mama wa mtoto na tukawa marafiki na hatimae nikatambulishwa kwa baba wa mtoto ambae pia...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
...:cheer2:...MAY YOU LIVE TO BLOW 101 CANDLES (Without Viagra)...:peace:... :amen:
0 Reactions
86 Replies
5K Views
Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au...
0 Reactions
86 Replies
9K Views
MABIBI NA MABWANA! WAPWAAZ NA MA-BINAMUUUZ............ kwa heshima na taadhima ninaomba KWA PAMOJA TUITAMBUE SEND-OFF PARTY ya mkuu MSINDIMA huko ARUSHA!...INAYOFANYIKA LEO HII...!hapa...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
natamani kama world-cup ingechezeshwa hata mwaka mzima..... haka ndo ka-mwezi pekee kakuchelewa kurusi nyumbani kwa kizingizio cha NILIKUWA KWENYE BIG SCREEN HEEEEY MY BRAAAAAA...
0 Reactions
100 Replies
8K Views
JARIDA maarufu Ujerumani linahabarisha kwamba ni vigumu kwa Afrika Kuendelea kwa kuwa viongozi na watu wake wanafikiria habari za maendeleo kwa kiasi cha 10% tu tofauti na wenzetu huko Ulaya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Umejitihadi ukamtimizia haja yake ya kumpeleka out kwenye concert ya maisha yake kumwona mwanamuziki aliyetamani maisha yake yote kumwona/kuwaona. Mara anatambulishwa mwanamuziki jukwaani...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
TAFAKARI YA BABU Jamaa kaoa mke mshamba asiyejua uume wala mapenzi. Usiku wa ndoa, Mke akamuuliza mume, " hiki nini?" Bwana akajibu, "Yaitwa popoo, ninayo mimi tu hapa duniani!!" Huku...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
This summer why not spend some time with your family passing down stories about your history, heritage, and tracing your roots. Start by telling your children about their family history. It is a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heri kwenu wadau, nina imani mambo yanaenda vizuri. Nakuleteeni habari njema kuwa my wife mpenzi amejifungua mtoto wa kiume, lakini amejifungua kwa operation! Nimeona ni jambo laheri kuwajulisheni...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Imetokea mara nyingine kuwepo kwa Wanandoa ambao hawajaliwi kupata (wa/m)toto kwa sababu mbalimbali zaidi sana kwa Ugumba au Utasa. Kutokana na mambo mengi katika jamii inayotuzunguka, Wanandoa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39: Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za...
0 Reactions
234 Replies
19K Views
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…