Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

SEXUAL SADISM Sexual Sadism, yaani maradhi ambayo aliyenayo huona raha mtu wa jinsia tofauti na yeye anapodhalilika au kuteseka kijinsia. Sexual Sadism ni maradhi ambayo yanawapata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nisiku yangu ya kuzaliwa namshukuru mungu kwa kuniwezesha hata kufika miaka hii, zaidi kuwa familia nakumuomba aniepushe na magumu yoooote yanayonikabili Zaidi nawakaribisha wanaJF wooote...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Usizunguke! "...Around the bush!" Wanaume na wanawake ni tofauti na hilo halina ubishi, mwanaume hawezi kuwa mwanamke na mwanamke hawezi kuwa mwanaume jambo la msingi ni kusherehekea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mr. husband just work on your skills period. very recently I heard of a case where a man was complaining that his wife was no longer receptive to love making and bla bla and their pastor called...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saturday, April 24, 2010 9:22 AM Mwanaume mmoja nchini Uingereza amejikuta akipandishwa kizimbani kwa kosa la kumuua mpenzi wake wakati wakifanya mapenzi...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa wale wazazi wenye mapenzi mema na watoto wao kwa watanzania mnaoishi tanki bovu karibu na ukuta wa mboma kuna katoto kamekutwa na alfu kumi kana miaka 11,ka kike baba na mama walikufa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Name Nguli Sakamoto Best Food- banana & Ngararimu Best Car- Toyota Stout & Peugot Best teacher- Kiondo Kisaka Mauki Best girl- Maria Sungusia Olotu Best place-gym Best actor-Bruce Lee & Rambo...
0 Reactions
99 Replies
9K Views
10 Reasons Why African Men DON’T ROCK By Mubita C. Nawa As the world focuses on Africa this year for the world cup, Africa needs to take a closer look at its men and their leadership roles in...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
hii nimeitoa kwenye blog 1 hivi.....mshaurini huyu....mi nampelekea comment zenu...... MUME WANGU ANANITEGEMEA KWA KILA KITU- LAKINI HAJATULIA HATA KIDOGO- NIMWACHE? Du! jamani kuna wanawake...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimekuwa mtazamaji na mchangiaji katika jukwaa kwa muda sasa.Lakini ombi langu kwa leo nadhani umefika muda niseme kwamba nahitaji mke.Sifa zifuatazo zinahitajika.Mzuri wa haja,mweusi(si kama Idd...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
A new study has shown that fathers play a crucial in the development of children - and that without a dad present in the crucial first stage of life, offspring grow up to be less sociable...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nataka niwe karibu na sana na mungu. Mimi ni mkristo natafuta marafiki walio okoka, watakao nifanya nisiambatane na yale makundi niliyokuwa naongozana nayo. Yale ya walevi. Nimejaribu kuwaacha...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakuu nilibahatika kuwakuta ndugu wawili wakizozana, mkubwa akimlaumu mdogo kwa kumjengea nyumba small haouse wake wakati mkubwa anasema huo ni upuuzi. Hoja ya mkubwa ni kuwa nyumba umempa kitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nifanyeje Hataki? SWALI Swali langu ni kwamba, je utafanyeje kama umeoana na mwanamke ambaye ni mzuri, mkweli, mpole, mwema lakini likija suala la kitandani ni usumbufu usioelezeka, ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hoja yangu ni kuwa iwe jegari lako mwenyewe halafu hujui kuendesha? kubali uendeshwe! Wengine wanasema kubali uendeshewe hadi utakapopata leseni kuendesha mwenyewe! Hapa ndipo Ciara anasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A man daily sent a rose to his wife. One day he died, but his wife still received roses. She asked the floweriest. He said, your husband paid advance for your whole life. MORAL: Love someone forever.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilijaribu kumchokoza mke wangu kuwa tungeenda kumpima mtoto wetu DNA...! Sasa nakosa sipati usingizi, kila wakati "Mimi nataka nikae na amani bwana..."!. Je, hii inaashiria nini? Ni uzushi, au ni...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hivi siku hizi kuna mapenzi kweli hebu ona huyu Staa wa filamu bongo akiwa na mke wake kwenye RED CArpet pale Regency pack Hotel
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Ni dhairi kuwa hakuna binadamu ambaye uzaliwa na mali, hali kadhali, umauti unapomfika inakuwa ndio siku yake ya mwisho ya kumiliki mali alizozichuma hapa duniani. Kwa hali halisi, inaonekana kuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…