How men change
The Love Word:
After 6 weeks: I looo-ve you, I love you, I love you!
After 6 months: Of course, I love you.
After 6 years: If I didn't...
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa...
Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!
Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa...
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela...
Uongo ni kitu cha kawaida katika mapenzi.Hata Ibrahim kwenye biblia aliongopa kuwa, Sara si mkewe,ili kuepuka mfalme asimuue yeye na kumchukua mkewe mrembo awe wake.Hata hivyo imeandikwa waongo...
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo...
Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke)...
Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza...
Katika website ya waynesthisandthat nimepata quote hii ambayo kwangu mimi hai'saund vizuri sana;
.."Like Fish, Guests Begin Smelling After Three Days"...!
Lakini pia, kwa waliosoma vitabu vya...
Habari wana jamvi!
Ni kweli kuwa inawezekana kujifunza kumpenda mtu (kimapenzi)
hata kama kwa mara ya kwanza hukumpenda au hakuvutii?
Ufanye nini au ni steps gani za kuzifuata?
Kuna mada zimefanya nianzishe thread hii.... kuna mtu anaomba ushauri ati yeye na mdogo wake wanapendwa na mwanaume mmoja na wamekuwa wakimlia buku kumi kumi za vocha..... inaonekana hawawezi...
Just a simple smile,
A soft caress, a sweet kiss
Just a step away
From unthinkable bliss
When you kiss me
when both the moment
and the kiss feels perfect
I'm looking into your eyes
and feeling...
WANAWAKE wanaoishi katika makambi ya waathirika wa mafuriko Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wamesema wanahofu kubwa juu ya kuvunjika kwa ndoa zao kutokana na kutengwa na waume zao kwa muda mrefu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui kama niite hii ni laana au baraka, mkosi au bahati. Lakini kwa vyoyote vile ilivyokuwa ilikuwa ni kheri na shari kwa wakati mmoja. Tangu utoto nilijua ya kuwa mwenyezi...
Vijana wawili wa nchini Msumbiji ambao walikamatwa wakifanya mapenzi na mbuzi wamefikishwa mahakamani lakini mmiliki wa mbuzi huyo anaitaka mahakama iamuru vijana hao walipe mahari na waozeshwe...
<</SPAN></SPAN>
<</SPAN></SPAN>
<1. Say it.
When you say the words 'I Love You', they should carry with them
the desire to show someone that you love them, not what you
simply want to...