Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika suala zima la kupambana na UKIMWI, kitu ambacho kimeendelea kuleta utata na mtafaruku mkubwa katika familia, ndoa na mahusiano mengi ni suala la kupima na kujua hali ya mhusika kama amepata...
0 Reactions
184 Replies
13K Views
My take on this: Knowledge is power, wamama kabla ya kuwatoa watoto wenu jaribuni kuomba ushauri wa kisheria. Kuna mashirika kama TAWLA wanatoa ushauri bureee! Pole sana mama Mbukwa. False...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rafiki yangu kaniomba ushauri, juzi alitubu mbele ya mkewe na kuamua kuwa mkweli kuwa nje ya ndoa amezaa mtoto wa kiume akiwa ndani ya ndoa akamsihi mkewe amsamehe,mke alimsamehe wakakubaliana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila mmoja anaweza kuwa maoni yake juu ya wivu, lakini naamni mtakubaliana nami kwamba, wivu katika mapenzi ni jambo lisilokwepeka hasa kwa sababu kubwa ya kuaminika inaonesha penzi lako la dhati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna uvumi/usemi kuwa ukiwa na Doto kama mpenzi wako mwisho wa safari kulwa nae utatembea nae, kwa utalaamu wenu na ozoefu wenu mnasemaje wana JF?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Najua umekaa mkao wa kula kutaka kujua leo nimekuja na mada gani kuhusiana na kona yetu ya mahaba. Leo nataka kuongelea tabia mbaya za baadhi ya wanawake wanaotanguliza maslahi mbele kuliko upendo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23. kati yao...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Nazungumzia pete ya uchumba. Mchumba wako akitaka akusapraizi na pete siku flani, utapenda iwe kubwa au ndogo? Yaani uzito au mwonekano, sio ule ukubwa wa kulegea kidoleni au kubana sana, najua si...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Nanukuu "Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Same-sex marriage becomes legal in D.C. March 3, 2010 | 7:24 am Same-sex couples can start applying for marriage licenses in Washington. At least 16 couples were waiting at a courthouse...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi. Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Tumsaidieni huyu dada jamani.... Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye...
0 Reactions
100 Replies
13K Views
Will I ever make love again? Four women reveal why their sex lives have simply fizzled out Last updated at 11:06 PM on 23rd February 2010 A survey last week revealed that a quarter...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jamani wifi yenu/shemeji yenu mashallah mungu anawez jalalia kupata member mwingine wa JF,Sasa alivyo ana miezi 7 Nimekutana na mwenzangu ambae tulipishana kidogo kuwatunngia mimba hawa wake zetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho...
0 Reactions
183 Replies
14K Views
Habari zenu wana jamii forums. Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono. >Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia. >Awe...
0 Reactions
116 Replies
9K Views
Jana nimekutana na demu wangu ambaye nilifanya nae matusi mara moja, mwezi wa saba, mwaka jana Ni demu mkali mno, ni mhudumu wa hoteli maarufu hapa town. Kwa sababu nilikua najali maisha yangu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini...
0 Reactions
27 Replies
12K Views
kuna mkaka mmoja alimtogoza dada mmoja mwaka mmoja na nusu uliopita lkn huyo dada akamkatalia kistaarabu tu,sasa pamoja na muda mrefu kuwa umepita lkn huyo kaka kila siku anampigia huyu dada simu...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani eeh, huyu dada anaomba msaada wenu; amelikoroga! ***************************************************** Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 32. Nimekuwa nikikimbiwa na wapenzi zaidi ya...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…