Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanajamii kwa mtazamo wangu nimeona kuwa mapenzi kwa sasa yanachanganya sana kiasi kwamba mtu ukifikiria sana unaweza kuibuka na uamuzi kuwa ni bora usijiingize kabisa kwenye huo ulimwengu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, ni Sababu ya Msingi? Swali: Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29 nilioa ndoa takatifu kanisani miaka miwili iliyopita na tumekuwa na wakati mgumu sana (migogoro) na mke wangu. Ni miezi sita...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana JF, Kuna hii kitu nataka kushea na nyie. Watu wote waliooa, waumini wa dini zote wanakutana na rabsha na matatizo mbalimbali katika maisha yao ya ndoa, na matatizo mengine hufikia hatua...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Marafiki, wasomi, wana jamii wenzangu na hata wapenzi wangu, leo ni World tell me day, hivyo basi naomba mniambie kila kitu, iwe siri au mambo ya kawaida. Yote nitayaweka moyoni (in confidence)...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu. Hapa jamaa akiwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mamboz! Nimepata stori kutoka kwa jamaa zangu wawili tofauti kwa muda tofauti. Mmoja anasema Girl Friend wake analalamika kua kondom inamsababishia kuwashwa sehem za siri. Wa pili anasema...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani, kutokana na ushuhuda mwingi ambayo nimesikia toka kwa watumishi wa Mungu, nawashauri akina baba wenye watoto wafanye DNA test za watoto wao, hasa kama watoto kama hawafanani kabisa na baba...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Amani kwenu wadau! hivi hii imetulia kweli?, Kama ikitokea mwanaume ameenda nje ya ndoa ishu inaonekana ni simple tofauti na mwanamke akitoka nje ya ndoa! Naomba mnisaidie kwanini mwanamke akikosa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana-JF, Heshima mbele! Hivi kuna ukweli wowote kwamba ikipiga konyagi, valeur, gordon ama gin/spirit yoyote, game yake inakuwa si mchezo?????? Is it scientifically proved? Je wasiokunywa...
0 Reactions
62 Replies
14K Views
Jamani napenda kuwashukuru sana tena sana wale woooooooooooooote tuliokutana fraideiiiiiiiiiiii,ilikuwa pouwa kufahamiana na kubadilishana mawazo mazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,yale malengo plz...
0 Reactions
182 Replies
12K Views
jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa. Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
asubuhi tu nimesikia habari moja redioni. dada kaolewa tatizo likawa kupata mtoto. mwisho wa siku ikajulikana mwanamke ndiye mweye tatizo. bahati nzuri mwanaume alikuwa mwelewa, akamchukulia poa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wadau, Mara nyingi watu wanaosafiri sana (hasa watumishi wa taasisi za umma) hupenda kufikia hoteli fulani na kuzoeleka vizuri tu na wenyeji; nimejiuliza sana kuhusu tabia zetu tunapokuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tufahamishane jamani
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifikiria hii dhana ambayo nimegundua ipo sana na kwa watu wengi kuwa inapotokea mwanamke au msichana akawa anamegwa sana mtaani kwao au maeneo anayoishi huonekana ni malaya, kicheche...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
HOT SISTER IN LAW True story, I was happy. My girlfriend and I had been dating for over a year, and so we decided to get married. My parents helped us in every way, my friends encouraged me...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Mpenda Chongo huita makengeza,waungwana leteni maoni hapo mnapaonaje ?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani naomba anayejua mtu huyu alipo anisaidie kumpata. Anaitwa Mr Carlos Sendwa, alisoma PCB sekondari ya Pugu STream G 1980-82. Wakati huo mimi nilikuwa PCB stream F, mwenyeji wa Mbeya. Wazazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakenya kiboko
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…