Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Chelsea Clinton Monday, November 30, 2009 11:50 PM Chelsea Clinton, mtoto wa rais wa zamani wa Marekani Bill...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, napenda kuwasilisha kifuatacho: Sina sifa saana ya kujiita wa zamani, ila nakumbuka enzi hizo early to mid 60's wenyewe walikuwa wanaita nineteen sixty kweusi! ilikuwa si rahisi kumkuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inasemekana kuwa tabora ni mkoa wenye mademu wenye shepu nzuri na mvuto mkubwa. Infact mademu wa tabora hawatumii dawa za kichina, lakini utakuta wengi wao wana mahips na makalio mazuri ambayo ni...
0 Reactions
20 Replies
17K Views
1. Lack of Respect Don't badmouth your spouse to your friends or associates. Spouses need to be thanked. They need to know they are appreciated. 2. Not Listening to Your Spouse This...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
katika mipangilio ya maisha mnaamua wewe na mwenzio kutumia kondom, baada ya kujaribu hizi na zile mnakuta brand inayowavutia zaidi kwenye tendo, kuondoa usumbufu unaamua kununua box zima ambalo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama mzazi unapomkuta mwanao katulia huku kapiga magoti na kufumba macho akiomba kama ifuatavyo; "Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cellphone...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha. Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya...
0 Reactions
103 Replies
11K Views
Eti Jamani: Kwa wale wenye mahusiano ya dhati ya kimapenzi. Wenye ndoa zao na wachumba ambao wanatarajia kuingia kwenye ndoa. Au basi ma-boy/girl friends wenye mahusiano ya kingono. Inawezekana...
0 Reactions
327 Replies
23K Views
Conversation between a child and the Judge in court: Judge: Do you want to live with your mother? Child: No Judge: Why? Child: She beats me. Judge: Okay, so you want to live with dad? Child...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
He met her at a party.. She was so beautiful, many guys were chasing after her, while he was so plain and simple, nobody paid attention to him. At the end of the party, he invited her to have...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanawake viumbe wa ajabu sana. Brother yangu alisoma STATES na aliporudi mwaka 1999 alioa mke kutoka kijijini katika familia fulani masikini. mkewe huyo hakuwa amesoma hivyo kaka yangu alijitahidi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mara nyingi hukutana na neno hili..KICHECHE.. likitumika kuwalenga wanawake... sijaweza kuelewa vizuri hasa nini maana yake. Nijuavyo mimi kicheche ni mnyama wa porini ambaye hula vifaranga kama...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Wandugu! Nimeshawishika kuuliza hili,kwasababu ninaamini kila mtu mwenye mwandani wake(bila kujali ni HE/SHE) naamini kuna kitu kimoja au viwili HUWA HAELEWI ELEWI/KINAMSHANGAZA/KINAMTATIZA/KIPO...
0 Reactions
286 Replies
19K Views
SIMPLE ROMANCE MATHEMATICS Smart man + smart woman = romance Smart man + dumb woman = affair Dumb man + smart woman = marriage Dumb man + dumb woman = pregnancy OFFICE ARITHMETIC Smart boss +...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
...........Najua hii mada ishaongelewa sana hapa JF hata kama siyo direct kama navyotaka kuipresent case niliyoipata hivi karibuni! Kuna mdada kaolewa ana kama miaka mitatu kwenye ndoa sasa...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
KUTATULIWA MATATIZO Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidika katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Hivi kwa nini wanawake wakiolewa katika familia fulani wao ndio chanzo cha kusamatika kwa upendo uliokuwepo katika familia hiyo. Kwetu tumezaliwa wanaume wawili na wanawake sita. toka tumekuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
I AM TOTALLY CONFUSED MY PEOPLE! kila nikiwaambia ''...jamani eeh,nimeamua kuoa LEAVE ME ALONE!..''wananitishia hata kuweka pingamizi kanisani. wanasisitiza ''WEWE OA TU,LAKINI SISI TUNAOMBA...
0 Reactions
113 Replies
8K Views
Hili neno lilivuma sana enzi za utoto wetu tukawa tunatania watu shuleni hivi kwa nini serikali ililipiga marufuku? nakumbuka kuna wimbo ulikuwa unaimbwa wanawake wazuriwazuri wameolewa. Mpaka...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Salaam! Kuna kipengele katika sheria ya ndoa kinachosema kua pindi ndoa inapovunjika Mtoto atakaa kwa mama yake mpaka afikishe miaka saba then baba anaweza kumchukua!! Sasa kuna rafiki yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom