wanasema pesa humfuata mwenye pesa..
huwezi kupata pesa nyingi bila kuwa na pesa japo kidogo sio...
mimi katika experience yangu naona na wanawake
hivyohivyo....
ukiwa single mda mrefu inakuwa...
habari zenu waungwana?
nitakuwa mwizi wa fadhila kama sitotoa shukrani zangu kwa msaada wenu. ahsanteni sana kwa kunisaidia kuikamilisha ile project ya , sumu ya ndoa ni...... , nina furaha...
THE MEANS:baada ya kuona mumewe(mwanajeshi wa level ya lt col) ni mlevi kupindukia,anakabidhi mshahara wake woote bar,kula kunywa na totooz huyu mke mwema aliamua kuanza kumuibia mumewe kila siku...
Nimejiunga naye.... Amebadilika!
Mume wangu hapa humtoi! James ni mwanaume anayependa sana soka si kuangalia kwenye Tv tu bali hata kuhudhuria mechi mbalimbali kuanzia uwanja wa taifa jijini...
Ufitinaaaaa na upelelezi ni sumu ya mapenzi... mimi kupendwa na yeye... ninyi mwakerwa na nini... yeye kanipenda nami namupendaaa...
Naupenda sana wimbo huu Nguza hapa aliacha kazi akafanya kazi!
Nimempa kile anapenda!
Siri kubwa
Kuna usemi wa msingi sana kuhusiana na ndoa hasa linapokuja suala la interests na hobbies kati ya mume na mke.
Jambo la msingi kwa mke ni kukumbuka kwamba...
"Too late to catch the bus"
Afadhari hujachelewa basi la abiria!Mara nyingi hobbies husababisha wanandoa kuwa na mawasiliano mazuri, kuongea pamoja, kuwa na kicheko na kufanya vitu kwa pamoja...
Una ripoti ya ukaguzi?
Mchwa umefanya kazi yake!
Mwenye nyumba alihitaji ripoti ya ukaguzi wa mara kwa mara! "Mpenzi ,nionyeshe uso wako, na niisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni...
Je, ni Muhimu Kiasi gani?
Je, sex ni muhimu katika ndoa kiasi gani?
Wanandoa wengi wana struggle sana ili kuhakikisha ndoa yao inakuwa ya kuridhisha ingawa ni kweli ndoa yoyote imara huhitaji...
Mke wa Professor!
John ni professor katika chuo kikuu kimoja nchini Canada.
Huandika papers za nguvu, na kutoa lectures zenye heavy stuff na hutumia muda mwingi sana library.
Mke wake ambaye...
Kuna mwanadada mmoja ambaye ni miongoni mwa watu wasomi sana. Amemaliza chuo hapa mlimani. Wakati alipokuwa chuoni aliibahatika kupata mchumba ambaye walikubaliana kuoana. Na walikuwa katika...
I was staying with Joyce for three days while my parents went to Kenya for the funeral of Uncle Jack. Joyce as I had always known her was not actually my aunt but Mums friend Jennifer, but...
Women! Without them, men would only remain as latent seeds locked in our fathers' loins without hope of being occupants of the earth. They are the only ones that learn 'how to push' without a...
Kipimo mwatupimia,
Mwajua twapungukia,
Lakini mwasubiria
Kuona tutapatia;
Sifa mnatutajia,
Za yule mwatamania,
Kila tukiangalia,
Vijana tumefulia,
Twabaki twatamania,
Kama sungura wa hadithia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.