Friday night was a disaster. Never mind that I went out with Anne and Michelle, two perfectly civilized, professional women. There was drama at the bars we visited! Here are five types of people I...
Mmmmmhhhhh hili sijui
yakheeeeeee yamekukuta haya???nakuja tena
wanandugu kuna hili swala la artificial love unakuta mtu ana mahusiano
na mwenzie zaid hata ya miaka miwili huku ana madhumuni...
Watu wengi tumeumbwa na hali ya kutoridhika na tunachopata
swala hili limekuwa tatizo kubwa sana katika jamii na kufika hata
watu waliokuwa wastaarabu kuitwa MAFISADI...huku kwenye
mahusiano...
Kuna rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuni,mkewe
kajifungua mtoto wa kike...
Tatizo sasa ni kuwa yeye baba mtoto alitaka kumpa
mtoto jina la mama yake ambalo ni mwajabu.....
Mama mtoto hataki...
Kila mtu na kiatu chake
Watu wengi hudhani kwamba mwanaume akiwa mrefu basi na uume wake huwa mrefu hiyo si kweli.
Ingawa ni kweli kwamba kila mwanaume ana size tofauti ya uume kama wanaume...
Nyie wazazi,jamani embu badilikeni kidogo mbona hivi
yaani damu zenu sikuzote zilikuwa wapi mpaka mmeanza kuparamia watoto
wa wenzio...leo hii unamkuta mzee mtu mzima akiwa na katoto kadogo...
wakulu, hebu nisaidieni jamani, kuna pozi zingine nikimpa my wife anazikataa-mara anaumia, au haiskilizii poa. zingine anapenda kila siku wakati mm hata sizikubali! humu ndani tupo jinsia zote...
Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati...
wanandoa,wanafamilia,
Ndoa nyingi zinahangaishwa na uwazi wa mambo ya ndani ya familia
wapo wengi wanaoshindwa kutunza siri za majumbani mwao bila kujua madhara yake....hili linahusishwa wanaume...
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu mapenzi hasa kwa hawa dada zetu.nimefikia mahali nimeshindwa kuelelewa kbs.ukiongea nao watasema wanataka mwanaume mpole,msikivu,atayempenda na kumjali nn...
mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Ndugu zanguni nimefutahi sana kuongelea hii mada kwa uchungu....kabla ya kuja ninapotaka kama kichwa cha habari hapo juu...yupo ndugu yangu mmoja alioa...
Karudi Mwenyewe!
Mzee Hibwa had an argument with his wife who got too angry, packed her bags and went back to her parents home.
Unfortunately for her, she had to pass her husband's home...
Mpenzi
Sema habari za huko Baby unaendeleaje ? Vipi hali ya hewa huko , siku nyingi sana hujaniandikia email wala mimi sijakuandikia chochote samahani sana kwa hilo na wewe pia nakusamehe kwa...
:rolleyes: :rolleyes: :confused:
ACCIDENTALLY!
A woman and a man are involved in a car accident; it's a bad one. Both of their cars are totally demolished but...
Nimekuwa na mahusiano na wadada kadhaa.Lakini wengi wao nilikuja kugundua sio wakweli linapokuja suala la kujua umri wao. Mnaweza kusema age it has nothing to do na mahusiano yetu lakini kwangu it...
Housigeli anataka kuniharibia ndoa
!
habari yako. Nategemea mzima wa afya na hutasita kunisaidia kunipa ushauri unaonifaa. Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili. Tangu nimeolewa miaka sita...
Mpenzi msomaji wangu, miongoni mwa mambo yanayowaumiza kichwa walio wengi ni kutokuamini kama wale waliotokea kuwapenda ni waaminifu kwao kiasi cha kufikia hatua ya kuona kila wanapokuwa mbali nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.