Wakuu nilistaajabu mama alipo nipigia simu na kuniambia nioe mchumba wangu wa zamani ambae tumesoma wote primary toka darasa la kwanza mpaka la saba secondary na kungineko tulisoma tofauti na kila...
je wewe ni mmoja wapo.....
kama ndio unajua hakuna kitu kibaya kama kuishi maisha ya mashaka
yawezekana uko na mwenzio umwamini...yawezekana uko ofisini huna amani...jibu ni moja hakuna jambo...
Wapo wanume wengi duniani hawana uchungu na wake zao...na tatizo kubwa linakuja pale mwanaume anapojua kiasi cha mwenzake ni kikubwa mara dufu yake...wapo ambao kwa namna moja niseme mapepo,,ama...
A woman over 40 will never wake you in the middle of the night and ask, 'What are you thinking?' She doesn't care what you think.
If a woman over 40 doesn't want to watch the game, she doesn't...
Sex Education? No Thanks!
The Times
As the Government sets out new rules for sex ed, one mother explains why she is removing her daughter from the classes
Sex education. Until recently, Ive...
Je, unaweza kumruhusu partner wako asome sms zako hivi????Kama kuna neno moja la msingi ambalo ni msingi wa ndoa yoyote neon hili ni Uangavu (transparency).
Kamusiinafafanua kwamba neno uangavu...
Kama kuna kitu ambacho sipendi kitokee maishani ni kuacha kutandika kitanda baada ya kuamka
Hivi wewe unaamka unamwachia nani akutandikie kitanda chako,,,kuna familia yaani wanandoa mwenzao...
John Stephen Akhawari ni mtanzania mwenye sifa ya pekee kwa kumaliza marathon na si kushinda. Kwa maelezo zaidi soma hapa
Ndoa inafanana sana na ukimbiaji wa mbio ndefu (marathon) na hutoa...
Mwanamke ni Kusikilizwa!
Mashitaka mengi tunayopata wanaume kutoka kwa wake zetu ni kwamba;
Huwa hatuwasilikizi na pia hatuwajali
Kumsikiliza mwanamke anapoongea ni pamoja na kuachana na...
Qn: What is Sex?
Ans DUTY if done with wife!!!!
ART if done with a lover!!!!!
EDUCATION if done with a virgin boy!!!!!!!!!!!
SCIENCE if done with a...
...baada ya miaka kadhaa ughaibuni na mkewe mkubwa, mshkaji alikwenda kuoa bongo kinyemela bila mkewe kujua.
Ili kuuziba nyufa, mheshimiwa aliamua kufa na kupona, iwe isiwe bi mdogo huyo, (ambaye...
Mwanaume hakwepi, atakuona tu!
Tabasamu hufungua dirisha la Upendo na kujiamini.
Mungu alituumba wanadamu kwa namna ambayo mwanaume huvutiwa na mwanamke kama sumaku hata hivyo kuna wakati...
Nini maana ya chaja ya kobe...kwa wale waishio bongo watajua naongelea ile chaja iko kama kobe ambayo huwa aijalishi ni aina gani ya betri inaingia...yenyewe ukiseti iwe simu ya...
Mzee Jongwe na mabaluni yake, yakipasuka hana lake tena! Life is too short to wake up with regrets.
So love the people who treat you right.
Forget about the one's who don't.
Believe everything...
Maksi ni zilezile!
Zawadi ni zawadi, muhimu ni Caring anayopata kutoka kwa mwanaume Wanaume wengi (si wote) hudhani kwamba kumpa mwanamke zawadi kubwa, au kumnunulia kitu cha thamani kubwa...
When one door of happiness closes, another opens;
but often we look so long at the closed door that we do not see the one which has been opened for us.
Also
To Forgive is the Highest, most...
Kitinda Mimba
Eti vitinda mimba wengi hudeka sana? Wataaalamu wa masuala ya haiba na saikolojia ya watu wana mengi ya kusema kuhusu nafasi unayozaliwa katika familia (birth order) na athari...
Bei ya Ndoa
Mpaka kifo kitakapotutenganisha! Kama upo kwenye ndoa na upo kwenye tatizo kubwa, shida au mgogoro wowote na unajisikia kama ni wewe mwenyewe tu mwenye Matatizo ya ndoa, ukweli...
Wanaume Huchochea Mwendo!
Risasi tu zitoke basi!
Wanawake hupunguza mwendo wakati wanaume huchochea na kuongeza mwendo.
Wanawake hupenda kuguswa mwili mzima (mwili wake wote ni single sex...
Baada ya kuidadavua mada ya Hisia zinaweza kukugeuza katuni mapenzini, leo tunapiga bao kwingine na kuibuka na somo safi kabisa ambalo linatanguliwa na kichwa kinachosema Uchawi mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.