Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wadau , Mimi bado nina kamba hapa JF.na sijui kama hili limeshapewa ufafanuzi hapa jamvini, Mimi bado sijaelewa hizi stika za zimamoto za kuwekwa kila mwaka kwenye gari na kulipiwa gharama kubwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=iel2edgSfMc&feature=related
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hahahahahahahah.
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ningependa nifahamu ni maamuzi gani wenzangu mtachukua iwapo hali hii itawakuta. Dada yangu ameolewa na Mnyarwanda ambaye anakijikampuni chake kinachowapatia senti mbili tatu angalau za kuwafanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta demu wa kuchat nae,sitaki kukutana nae face to face au kuwa na uhusiano wa kimapenzi. nataka m2 (wa kike eh) charming wa kunipotezea mawazo. kama una interest, nitumie email au niadd...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Yawezekana na wewe upo kwenye hiyo list...wapo watu wengi sana ambao wanaanza mapenzi kabla ya ndoa..na hii imekuwa system ya kila sehemu....hii tukubali tukatae hii ni dhambi..haurusiwi kuchukua...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
It says: "Be very careful if you make a woman cry, because God counts her tears. The woman came out of a man's rib. Not from his feet to be walked on. Not from his head to be superior, But...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Am hoping you all are doing very well in your different capacities...wapwa, mabinamu, masista duu, nk. I thought we should discuss this, memories of past rships.... am talking about not so...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Umeipata hii kali ya huko Mbeya Wazee huko wanajichukulia visichana vidogo vya primary na vimepewa jina ati wanadai kupata chanjo ni kuvimega visichana vidogo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Friday, November 27, 2009 3:00 PM Kamera za ulinzi nchini Marekani zimemnasa live mwanamke mmoja ambaye aliamua kuisaliti ndoa yake na mpambe wa bi harusi dakika chache...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Zambia's celebrity couple reveal wife-beating past By Jo Fidgen BBC News, Lusaka One of Zambia's most famous singers has revealed how she was badly beaten by her husband. She now...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumekuwa tukisikiliza radioni, kusoma magazetini na kushuhudia pia kuwa watu wakiwa wanaishi pamoja kama mke na mume na kama wamejaaliwa watoto mambo huwa mazuri tu. Tatizo linakuja pale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
shauri ya wake za watu!! Ukiliwa mkeo ni contact.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Jamani kuna kaka mmoja amekutwa na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza uliomfanya asiweze hata kuzungumza. Akiwa katika hali hiyo, kwa kuwa hakuwa na mke na tatizo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hivi kwa nini wanawake wengi wa kitanzania wanafikiri sex ni kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume,kama vile haina faida yeyote kwao??? Mara nyingine utasikia mwanamke anamnyima sex mpenzi wake...
0 Reactions
99 Replies
22K Views
Wajameni nina kaka yangu ana mchumba wake wana miaka mitatu sasa kila binti akiambiwa tuoane anadai mapema sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
jamani kwa yoyote atakaepata matatizo ya kuachwa na mkewe anijulishe natumaini kuachwa si kuachika...swala ni kuvumiliana na kurekebishana karibu sana
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Jamani ukitaka kujua ubaya wa mapenzi, anzisha mahusiano ofisini maana ni sawa na kujifunga bomu kichwani ukisubiri likulipukie wakati wowote! Mahusiano kazini yasipoathiri utendaji wako (kama...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Wajameni kumekuwa na imani nzuri inayofanya kazi mumemwema hutoka kwa bwana yesu sasa kama mwanandoa tunaomba utushauri hapa nini ama sheria gani zitakuonyesha huyu mume bora/mke bora...na si...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom