Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Happy Valentine my babe, Sweety 🤣😍😘 napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu. I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too. I wish your here...
12 Reactions
215 Replies
4K Views
Wakuu Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi. I'm very sad
8 Reactions
57 Replies
987 Views
Habari za jioni! Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli...
19 Reactions
142 Replies
9K Views
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za...
0 Reactions
5 Replies
259 Views
Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
12 Reactions
80 Replies
1K Views
Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa...
6 Reactions
15 Replies
478 Views
Wakuu, Nimekuwa mzoefu sasa kunyandua wadada wa chuo hasa mala marudipo nyumbani kwa likizo. Yaani unaweza ukamtongoza mchana jioni ukaiona nyapu bila chenga,hili nina uzoefu nalo wakuu. Kuna...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Na kuunganisha tendo juu kwa juu mfululizo hata raundi tatu ina hatari yoyote labda kiafya miongini mwa wenza husika? Nani ananyanyasika au anaathirika zaidi mathalani kwa uchovu au michubuko...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma...
5 Reactions
12 Replies
483 Views
Naam katika safari hukosi mwanamke hasa mweupe kiti cha kushoto kwa ajili ya service barabarani,,,manake nyama za oda mara kadhaa hugonganisha magari, Basi kutokana na hali ya tamaa nagharama za...
0 Reactions
8 Replies
316 Views
Ndivyo navyoweza kusema Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake. Wapo wanaotaka out kila weekend,. Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi. Wapo wanakula...
4 Reactions
4 Replies
128 Views
MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY ) Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Kuelekea siku ya wapendanao "Valentine's day" watu wengi hukuna vichwa ni zawadi gani wawapatie wawapendao. Wengine huwaza sana na kuwa na hofu kwa sababu hawana pesa nyingi kuweza kuwanunulia...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo, 1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating...
21 Reactions
60 Replies
2K Views
Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake. Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu...
12 Reactions
135 Replies
11K Views
Wakuu! Binafsi mimi si mtu wa masuala ya mapenzi hata kwenye siku kama ya leo. Leo nilikuwa na mpango wa kuwatembelea wazee, lakini kwa kuwa ni siku ya upendo, nikaona si vibaya nikichukua...
4 Reactions
39 Replies
497 Views
Wakuu naomba kuuliza ni nature ama vipi, Kuna huyu shemeji yenu nikiwa nae kwenye mahusiano serious mambo hayaendi kabisa Maisha yanastuck changamoto zinajazana ila tukitengana maisha...
2 Reactions
43 Replies
763 Views
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume. ************************ Muhimu sana kuzingatia Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya...
16 Reactions
128 Replies
3K Views
Back
Top Bottom