Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto.
7 Reactions
66 Replies
1K Views
  • Redirect
Hili jambo limeniumiza na kunifurahisha at the same time nina mshkaji wangu nasoma nae chuo 3rd year yeye ni mzaliwa wa dar hivyo alikuwa anakaa kwa wazazi wake tu basi bana ikatokea kwenye pita...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu sisi ni wamasai. Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa. Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana. Mnaona...
18 Reactions
182 Replies
4K Views
Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe"...
6 Reactions
28 Replies
578 Views
Mkasa ni wa kweli kabisa Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote. Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu...
1 Reactions
6 Replies
464 Views
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko...
60 Reactions
143 Replies
11K Views
Leo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Kwema Wakuu! Nafahamu Nina rafiki zangu wakike waliosingle mothers. Ninajua wapo dada zangu wakike single mother Na ninajua wapo watoto wakike huenda wakawa single mother. Lakini hii haitanifanya...
52 Reactions
246 Replies
5K Views
Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo. Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini. Wote...
2 Reactions
0 Replies
159 Views
  • Redirect
Aisha hana mswaki mwingine zaidi ya sele kwahiyo anatakiwa sele azisukutue kuta za aisha vizuri pia sele huwa anazukutua na anatema dawa😀 usipomuelewa lala tu
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu Kwa kweli kwa survey niliyofanya,kati ya wanawake 10 wanaovaa haya mashanga kiunoni basi kati yao 8 ni malaya wa waziwazi au wa kificho. Nimefanya survey kwenye mikoa kumi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
25 Reactions
186 Replies
12K Views
kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
Note; ONLY FOR MEN Natumai wote wazima Tarehe 31/12 natimiza 20 years lakini kwanzia nikiwa na miaka 10 nimekuwa mraibu mkubwa wa ngono, punyeto na wanawake kiasi kwamba nimepoteza takribani pesa...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Kama mnavyojua kila mtu hapa kapitia kile kipindi cha balehe wenyewe wanakiita foolish Age , Yaani pale kama ni Ke yupo tayari kugombana na wazazi wake kwa sababu tu ya boyfriend wake, na pia...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa kweli kaka Mimi naanza kwa kukiri katika mkasa huu Mimi ndiye chanzo cha matatizo na nimekuja kupata akili baada ya huyu mtu wangu kuwa haniamini, amekata tamaa na Mimi baada ya mlolongo wa...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na...
6 Reactions
69 Replies
817 Views
Back
Top Bottom