Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo...
Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde.
Nataka mwanaume...
Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja....
Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa...
Wakati mwingine katika maisha tunapitia vipindi vigumu na vizito vinavyotufanya tuhitaji kufarijika na kutiana moyo. Unaweza kufarijika kwa maneno mazuri toka kwenye vitabu vya dini au toka...
Hakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa...
Nimejisikia kwa kweli kuongelea hili nimesikia wengi baada ya kuwa na mahusiano na kunogewa huanza kudai watoto utamsikia mtu anasema mpenzi si unizalie katoto jamani ona tumekuwa wapenzi muda...
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika...
Ni juma nne usiku nikiwa bar moja maarufu hapa mjini baada ya mishughuliko ming nkasema nipate moja moto moja baridi nirudi kwa nkalale na familia yangu.
Sikuamini nilichokiona kafika katika meza...
Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao...
Pesa siyo kila kitu ila siyo mbaya kuwa nayo,enyi wadogo zangu,wangu na wajukuu zangu wa kiume.
Mpo kwenye era mbaya sana,
Niwape pole Kwanza.
Era yenu kila kitu kinataka pesa eti.
kufuga...
Wakuu,
Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri...
Wakuu sasa hii ni too much..
Najaribu kuheshimu watu hapa ambao kimakamo unaona kabisa ni kama dada yangu au mama yangu mdogo ila mambo niliyokutana nayo nashangaa naona sasa ni pepo.
Hivi...
Habari za jioni wakuu
Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu...
Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa...
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata?
Mwisho...
Wakuu,
Mila na desturi ni mtindo wa maisha wa jamii waliojiwekea wanajamii kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Mila na desturi zinaweza kuwa ni mtindo wa maisha wa mwanadamu kama mavazi, chakula...
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe
Unapiga nguo pasi mwenyewe
Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
Unajitandikia kitanda mwenyewe
Unajiandalia chakula mwenyewe
Unaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.