Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie.
Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini...
Wakuu
Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani.
Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine...
Habar wana jf.
Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri...
Mapenzi bwana.
Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.
Katika...
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana.
Usikatae...
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi...
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona...
Najua kila mtu usiku uingiapo huhitaji kupumzika,lakini unapumzikaje bila hata kuchati na yeyote,unaangalia simu yako labda utakuua sms unakuta hola,unajaribu kumtumia dada wa watu "mambo" ila...
Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna...
Mume wako
Alipe Kodi
Anunue chakula na mavazi
Alipie billis za umeme , maji na hospital
Ada za shule watoto
Akupee pesa
Bado anakomaa aweke akiba kwa ajili ya maendeleo yenu.
Na kitandani awe na...
Bila salamu.
MTAANI.
Ukweli iko wazi wakipita wanawake 15 wembamba mbele ya wanaume, wanaume tutageuka mara moja tu na kuendelea na shughuli zetu.
Lakini ukipita wewe chibonge mmoja tu mbele ya...
Heshima yenu wanajf, ipo hivi: Nipo kwenye mahusiano na huyu mwanamke kwa miezi minne sasa. Wakati namtongoza nilimuahidi kumuoa, na hapo ndipo nilikosea—nilimwambia nitamuoa ilhali sikuwa na...
Kuliko mabinti, wasichana na wananawake pekee kujaza makanisa na masinagogi wakitafuta wenza na wachumba kwa maombi na maombezi kwenye nyumba za ibada,
Uko umuhimu wa kufanya kongamano la kitaifa...
Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!.
Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu...
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata...
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.