Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Usifanye makosa haya 5 kisa valentine 1: Mwili wako sio zawadi kwa unayempenda Kama sio ndoa usitoe mwili wako kisa tu ni siku ya valentine, Siku moja inaweza kugharimu maisha yako yote,Jitunze...
8 Reactions
27 Replies
624 Views
Kama mnavojua tunakutana tukiwa watu wazima tuliokulia mazingira tofauti.. kabila tofauti mikoa tofauti, hivyo hatujuani wala kufahamiana tunaanzisha tu mahusiano Natamani kujua ni kwa muda gani...
10 Reactions
130 Replies
2K Views
CHUDAI na WATAA ni maneno yanashika kasi sana kwenye pages mbalimbali za social media Nimekutana nayo sana huko mjini X nimeyaona tena usiku huu Hebu tusioyajua tueleweshwe tuache kupretend...
4 Reactions
22 Replies
589 Views
Hakika dawa ya kuacha nyeto automatically ni kukaa na mwanamke pamoja Nlikua mdau wa nyeto a.k.a mkono bao tangu mwaka 2004 hadi mwanzoni mwa mwaka 2025 Hatimaye nikapata mtoto mzuri wa mwaka...
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Mapenzi Shikamoo! Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na...
8 Reactions
78 Replies
1K Views
Kama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia...
13 Reactions
148 Replies
2K Views
Habarini ndugu Wananzengo! Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp. Kwa nini inanichukiza? Kwa...
6 Reactions
26 Replies
587 Views
Wakuu, Mwaka 2022, alitokea binti mrembo machoni pangu, mrefu, black beauty, mnene kiasi mpole, mstaarabu na mwenye adabu sana Basi bwana kikaingiza mikorogo na gia zangu ili badae awe wife...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Aisee kuna hali naipitia nakua tuu sina Raha by outmatically Mood of sana niko tuu nafanya ibadae nahisi kuna kitu kibaya kinatokea but sijajua ila cha kushangaza jana dogo nae ananiambia...
4 Reactions
25 Replies
479 Views
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu...
12 Reactions
41 Replies
806 Views
Jamani mwenzenu mume wangu ananiambia nina husuda, hii ni nini? Kisa tu nimegundua anatembea na house girl wa jirani
5 Reactions
132 Replies
20K Views
Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu)...
5 Reactions
47 Replies
881 Views
Nah, it's the second time now being saved on a lifeline into making harsh decisions. Crazy! Why do some girls lies, man? On my usual trips, nakutana na innocent girl, yeah she pretty of...
0 Reactions
22 Replies
891 Views
Habari jamiiforum. Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha. Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Wiki yenye amsha amsha zake imeanza, vipi huko kwako mambo yanasomaje? Ushaagwa ana safari ya kikazi wiki hii? Ushaanza kutengenezewa mazingira ya minuno na kuambiwa “usinipigie, I need some...
7 Reactions
58 Replies
808 Views
Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material. Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na...
37 Reactions
271 Replies
24K Views
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia...
14 Reactions
84 Replies
3K Views
Yaani wewe ukiwa mwanaume kwenye ndoa wewe ndio mwamzi, uzaw wawili, watatu au Sita. Lakini kwa Upande wa Mwanamke kipaumbele chake ni watoto wengi tena wakutosha. Na ikiwa una kipato kizuri...
4 Reactions
28 Replies
548 Views
Sijui kwa upande wako ila kwa upande wangu sipendi kabisa matangazo pindi nikiwa na mpenzi. Fikiria siku mnaachana/mnamwagana utajisikiaje moyoni mwako au mbele za watu hasa unapoona picha au...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Ninawatafakari wanawake leo. Ungana nami tuone jinsi walivyo na uwezo wa hali ya juu katika kila nyanja. Wakati mwingine sio lazima wawezeshwe wakiamua kila jambo wanaweza. Hakika Mungu...
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom