Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.
Dada mmoja...
Habari jamiiforum
HASIRA ni nini?
Hasira ni Ono linalompata kiumbe yeyote yule, binadamu ,mnyama mdudu au ndege pindi anapokutana na pingamizi.{credit na Wikipedia}
Leo tuangalie Kwa binadamu...
Apa sijaja kutetea umalaya wa wanawake wa kizazi hiki hapana kabisa
Nimekuja kuwaambia vijana kizazi iki mnaoseama tusioe wasio bikra ni sawa ila muhakikishe mmewauliza baba zenu kwa usiri na...
Wanawake ni supernatural😂😂
Unakuta anapika, huku ananyonyesha mtoto hapo hapo kichwani anakuundia risala kama zile hotuba za hitler😂...
Wanawake hubishana kulingana na hisia. Wanaume hubishana...
Mara nyingi huwa naanza na neno kwa nlichokiona sometime huwa ni kma masihara ila huwa naelelezea mambo ya kweli kabisa nliyoyaona kwa macho yangu
Kati ya mabinti wenye Roho ngumu na wanaotumika...
Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!
(1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa...
Habari zenu walipa kodi wenzangu.
Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa.
"To you the love of my life"
You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine?
Nimjibu...
Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu...
Ukifanikiwa kumshawishi mwenza wako siku ya leo mkatoka kwenda kusalimia wenye uhitaji mahospitalini hata vituo vya wenye uhitaji mtakuwa mmefanya jambo litaloishi mioyoni mwa watu na machoni pa...
Inasikitisha sana wanawake ndio mama zetu wanatubeba tumboni miezi 9 lakini kuna sikielewi na kinanishangaza sana kwenye shughuri za dada zetu imezuka tabia ya kualika mashoga na inaonekana...
Kaka usikimbilie kuichomoa baada ya kufika iache iheme ndani kwa ndani kwa muda fulani
Ndio maana kuna wanakati mwanamke wako hulazimika kukung'ang'ania kukushikilia pale unapotaka kuchanyuka...
Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako...
Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli .
Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata...
KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya...
Leo nimeona nikae nitafakari kama Binti nikiwa mtulivu na ustaarabu ya juu maisha yangu
Nimekuja kugundua natongozwa sana na wakurya kwanzia kwenye social media ...mikoani.....chuoni...mtaani...
Unakuta mdada anakuonyesha dalili zote kuwa yupo interested nawewe, sasa ukisema uanze kumzingatia ana step back , anaanza kukupotezea na hatimaye inarudi kama zamani, hii imekaaje wakuu
Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.