Je, unawaza kumpa talaka mke wako au mme wako? Kama una mpango huo, ngoja nikutajie hasara 20 za kupeana talaka, kabla hujafanya uamuzi utakaoathiri maisha yako. Zifuatazo ni hasara zinazoweza...
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane
Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka...
Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na...
Binafsi nilikuwa namkubali sana enzi hizo.
Ila changamoto moja ilipekeaga kuachana naye, yaani alikuwa anapenda sana ku-flirt (kuchekeana chekea) kupitiliza na kila mtu especially wanaume.
Yaani...
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji...
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala...
Poleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo...
Salaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji...
Unambariki? Kwanini?
Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo...
Wakuu ukiachana na swala.la wanawake kupenda sana hela zetu ila mimi pia nina tatizo binafsi ambalo linanikwaza sana.
Ipo hivi wanaume tumeumbwa kutoa hiyo ni nature japo wanawake walaghai pia...
Je, kumuacha mtu umpendae ni kitu rahisi? Na je kama ni rahisi ninjia gani hutumika kuondoa maumivu ya moyo?
Kama umeshawahi kupitia maumivu naomba uniambie ulivukaje (kiufupi kuna kiumbe...
Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho)
Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha
Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka.
Uwe ni...
Wakuu thread tajwa izingatiwe.
Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati...
Afadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu'...
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama...
Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke...
Habarini wana jamvi...
Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli...
Saikolojia ya mwanaume iko hivi...
Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla.
Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa...
Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti.
Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa...