Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma.
Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia...
Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa.
Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
Jamani kweli uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu, yaani unakuta mwanaume mwenzio ana mchuchu mkali yaani pisi kali ile mbaya laa ajabu anamnyanyasa ile mbaya.
Dah! Alafu mchuchu unamtokea...
Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu...
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki...
Aisee, hili suala la hamsini kwa hamsini linatupeleka pabaya kwa kweli. Sidhani kama tutafika. Umeanza na Melki nakupenda nikawa nakuangalia tu, ukaona haitoshi ukatangaza mtaa mzima kuwa tuko na...
Zile mada zenu kuwa akija siku ya kwanza aliwe huwa mnadanganyana sana saa nyingine mnapoteza wanawake wa maana kwa tamaa zenu
Ishu ni hivi ukiona umekutana na mwanamke siku ya kwanza tu au ya...
Wasalaam, Umofia kwenu!
Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au...
Habari za mchana huu wakubwa, Poleni kwa misiba na Mihangaiko ya maisha ya kila siku!
Eeeh bhana, hebu Ngoja nielekee kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa Miaka 25+ nina Mke naishi naye...
Mwanaume ukimiliki gari liwe umekopa, umechukua kwa mshikaji umemaliza kila kitu kwa mtoto wa kike.
Haijalishi gari la Ambulance au la maiti lisiwe na jeneza ndani tu.
Kuna mdogo wangu tokea...
Pengine hii ingefaa iwekwe kwenye jukwaa la JF Doctor lakini naamini hapa MMU ndiyo nitapata jibu la moja moja kwa sababu memba wengi wa kile chama mashuhuri cha CHAWAPUTA wapo hapa. Kwa hiyo mods...
Habari zenu....! Leo sipo sawa kidogo baada ya kutafakari hili swala ..
Sijui ndio utandawazi au kuto kuwa mjuvi wa Mambo vya kutosha .
Hivi jamani kwa Nini tunatengeneza jamii ya wanawake ambao...
Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume)...
Za nyieeeee..
Mapenzi, mapenzi, nakuita tena xxx.
Ni starehe ya mda mfupi sana, ila majuto yake yanadumu milele.
Ninapozungumzia majuto, nina maana hii.
Kuna kipindi mtu unashikwa na...
Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa.
Huyu dada siku nimekaa Kwa...
Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini.
Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But...
Hamjambo wanajamii,
Niende moja kwa moja kwenye mkasa huu.
Niliingia kwenye uhusiano na binti aliyemaliza elimu ya kidato cha sita. Tulipendana sana na nilijitahidi kughalamia kila kilicho...
Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa...
Out thereee wakuuu
Utakuta mwanamke anamwambia mumewe "Kwa huu ujinga wako ulioufanya hii wiki nzima sikupi"
Na limwanaume linaanza kupiga magoti lipewe mbunye
Au utaskia "Nitafutie hiyo 100k...
Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.
Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka...