kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery
Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana .
Sasa jana kanitumia meseji watsap...
Habari za wakati huu, moja kwa moja, wanawake hawajui wanachokitaka, yaani ni vurugu vurugu kabisa, ipo hivi;
* Ukiwa na uume mrefu atakwambia unafaa kwa kuangalia na unavutia ila una muumiza...
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida...
Nimerudi tena.
Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake.
Guyz, hawa viumbe wana...
Dah nakumbuka me ndio nilikuwa naanza nikakutana Na demu Fundi balaa basi nilikuwa nazidiwa possession kila round.
Me ndio sijui chochote zaidi ya stori za kitaa.Nikapapasa kama nilivyokuwa...
Ni janga la taifa, kila mtu anataka Ke yenye kalio la kufa mtu.
Japo hiyo Ke inaweza ikawa na tabia Mbaya lakini kama nyuma imejazia hizo nyama nyama SAWA SAWA hata ndoa Inaweza ikatangazwa na...
Mwenye nguvu Hana pesa!
Mwenye pesa hana nguvu!
Mwenye pesa na nguvu Hana muda!
Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu
Mistari michache tu kwa leo
Kids na teenagers wanapenda entertainment, right? Sasa kila muda mtoto wa kike anapoweka chaneli ya trace anakutana na wadada wako nusu uchi wakikatika.
Mtoto huyu akiweka chanel ya E...
Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete
Mtu kanikubali...
Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo.
Haya tayari nimeshachokoza Mada...
Nawatakia Jumapili njema Wakristo wote, na mfungo mwema wa Ramadan kwa Waislamu wote.
Niende kwenye mada yangu.
Uhuru kwa mtoto hasa wa kiume mwenye miaka kuanzia 15 kama sayansi inavyosema kuwa...
Wikendi jana nilikuwa zangu kanda ya ziwa. Nikafikia lodge moja yenye sehemu nzuuuri ya kutulia na kula kinywaji.
Nyakati za jioni nikatoka nje kupunga upepo,kunywa wine huku nikipitia nyuzi za...
Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.
Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda...
Hellow african
Watu wengi hawajui kumuandaa mwenza wake kabla ya tendo leo nataka niwatoe ushamba kidogo [emoji23][emoji23]
Kwaza kabisa in the morng kama mnataka kukutana leo bas anza...
Ni siku nyingine tena natumai sote tu wazima wa afya.
Niende kwenye lengo langu. Katika mahusiano na ndoa kuna kukoseana na kuhitilafiana. Ndoa na yafanyikayo humo mara nyingi huwa ni siri ila...
Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa.
mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako...
😳😳 Mchungaji huyo wa kanisa nchini S.Africa kwa jina la Jeslynn ameibuka kuwashauri wanawake walio kwenye ndoa lakini tofauti na matarajio yake amepingwa kwa karibia asilimia 95% na wanawake...
Je ni sawa kumpeleleza Mpenzi wako kutaka kujua kuhusu mahusiano aliyowahi kuwa nayo kabla yako!? maswali kama umeshakuwa na wapenzi wangapi kabla yangu? kati ya hao ulokuwa nao ni wangapi umelala...
Nimewaza kuhusu mimba zinazotokea bila mpango kwa wasichana wa shule na vyuoni.....
Nafikiria kuhusu nani haswa ndo mwenye hatia kwenye hizi kesi ila jibu haliji. Huko mtaani wanalaumiwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.