Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Rafiki yangu alinihadithia mgogoro kwenye ndoa yake japo chanzo nilipata kukijua miaka mingi iliyopita! Wakati rafiki yangu akiwa na miaka 19 alipata mtoto na msichana wa mtaani dogo enzi hizo...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Za usiku huuu wanangu Jioni ya leo nimefukia msomi wa maana sana Hii ni kutokana na njjaa kali niliyokuwa nayo Sasa after menu nikawa najisikia kutapatapa na kama mwili mzito Inshort...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
African hellow Mapenzi yameniendesha sana mpka kitambi sina tena nimekuwa kimbao mbao nilie kuwa nae kanichuna sana alinidanganya kuwa ana mimba yangu kumbe siyo kweli mwisho wa siku ananiambia...
3 Reactions
34 Replies
637 Views
Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa...
10 Reactions
92 Replies
4K Views
Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi. (mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Kulikuwa kuna ndugu wawili mwanamke na mwanaume, lakini hawa ndugu walikua ni mayatima wazazi wao walishafariki. Sasa kwa bahati mzuri huyu wa kike akapata mume akaolewa na akabahatika mtoto...
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Sijui kwanini watu wanajisumbua kuhangaika na vitu ambavyo hawawezi kuvicontrol. Labda nielezee vizuri.... Sikuhizi kumekua na janga kubwa la wanaume kuwaza zana kuhusu ukubwa(hasa urefu) wa...
1 Reactions
2 Replies
850 Views
Bado navinjari mitaa ya Rufiji leo nimekutana na kitu cha kuhuzunisha mno, nimeonyeshwa kaburi la kijana ambaye mauti yake yalisababishwa na siku ya wajinga duniani Ilikuwa hivi : huyo marehemu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiukweli sijawahi kuleta mada ya mapenzi/Mahusiano humu ila Leo imenibidi nilete tu. Unajua katika mihangaiko yangu ya kazi nilibahatika kumpata demu flani hivi, Kiufupi ni mzuri na ni mtu wa...
3 Reactions
103 Replies
16K Views
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Nimekuwa natafakari Ili mwanamke apendwe au aonekane ni mke mwema.. Anatakiwa awe kilaza?...yaani Division four na zero zimuhusu?... Elimu ilishushwa kwa ajili ya jinsia Fulani? Mwanamke...
40 Reactions
366 Replies
21K Views
Hakuna Swali napata shida kulijibu kama hili. Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini. Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa...
16 Reactions
92 Replies
5K Views
Kwako Dada yangu na rafiki yangu humu JF especialy jukwaa letu pendwa la MMU. Nimeamua kukuandikia huu ujumbe jukwaani badala ya kukutumia PM.. Rafiki yangu nilichokigundua ni kwamba unataka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
soma habari hii kisha jibu maswali yafuatayo Ni saa saba za mchana jamaa kamwacha mchumba wake sebleni kaelekea dukani kununua vocha, Ile anarejea hamuoni mtu sebleni kugeuka huku na kule mara...
3 Reactions
142 Replies
11K Views
Yaani mwezi uliopita nimepigwa na Mshangao mkubwa Sana. Iko hivi kipindi nasoma chuo flani hapa Dar, nilikuwa na Jamaa yangu (Tuseme anaitwa JAMES), lakini pia darasani kulikuwa na demu mmoja hivi...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Kutii ni jambo la muimu sana kwa mjibu wa ndoa. Hata kabla ya dhambi kuingia katika ulimwengu, kulikuwa na kanuni ya ukubwa/uongozi (1 Timotheo 2:13). Adamu aliumbwa kwanza, na Hawa akaumbwa kuwa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wakulungwa! Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna jambo naomba tushee wote hapa, kuna jamaa mmoja ameoa sasa uyo jamaa ana katabia cha kumchangisha mke wake wanapotaka kununua kitu...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
5 Reactions
18 Replies
847 Views
Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom