Nimerudi baada ya changamoto za kimalezi. Tutakuwa pamoja sasa.
Wanawake wa miaka ya 70 ni tofauti na mabinti wa sasa wa 98, 99 na kuendelea. Wa miaka hiyo walikuwa waoga, unapiga kofi analia...
Huko hali ni shwari?
Kwa tuliooa nimewiwa leo hii tarehe 31 ya mwezi wa 3 mwaka 2023 kuyaongea haya.
Kuna wanaume wenzetu wengi ambao mimi nawaita ni wadogo zangu kabisa kama siyo wanangu. Hawa...
Ni sikitiko kubwa katika Jamii kuona mwanamke naye ameshupaza shingo anajidai anashindana na wanaume.
Kibaya zaidi ni kwamba ushindani huu wanaupeleka Hadi kwenye mahusiano ya ndoa.
Mwanamke...
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,
Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu
iko...
Kwenye jamii zetu inaaminika kuwa binadamu mwenye jinsia ya kike ni dhaifu sana. Wengi wanaamini hivi kutokana na maamuzi yao mengi wanayofanyaga, kuna muda yanaonekanika si yenye sababu hata...
Habari wadau, Leo nimeona nilizungumze hili , kwenu.
Mimi ni baba mwemye mtoto mmoja. Japo sijaoa...kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, kwa maana hata huyo mzazi mwenzangu tayari...
Mwanaume ukisha tafuta hela ukazipata fanya hivi sikupangii ila nakupa muongozo tu kama utaona unakufaa.
1. Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumtolea ibada ya shukrani na kuomba ulinzi wa Mali zako na...
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.
Embu niambie Kuna member...
Nina mpenzi wangu nilikua nampenda sana na kumpatia vitu vidogo vidogo pale apatapo shida. So nimekua nae kwenye Mahusiano ndani ya miezi 6 sasa, ila tatizo lake mi na yeye tunashindwana, hataki...
Kijuana kwangu na Halima kulikuwa kwa bahati sana. Awali sikuwa na mawazo kabisa ya kwamba nitakuja kukutana na kusuhubiana na msichana mrembo kama yeye.
Siku moja ambayo ninaikumbuka hadi leo...
Kenya ni jamii ngumu sana kwenda nayo sawia..wana matusi, ubabe kisela mavi, kejeli na ujuaji. Soon baada ya kuingia kwenye forum yao tuliyakoga sana matusi..kama vile.. meffi wewe, chieth, ngombe...
Habari ndio hiyo, mwanamke ni pambo na chombo Cha starehe.
Wewe mwanaume ni katapila la mwanamke.
---
"Baada ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kutoa tamko imeonekana Uislamu ni dini...
Wasalaam wana JF,
Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama Muislam.
Lakini, kuna...
Habarini za asubuhi, poleni kwa majukumu ya siku wale tuliotoka makazini nyakati hizi, na hongereni mnaoendelea na majukumu pia
Mimi si muandishi mzuri ila ngoja nilete kisa kilichonikuta siku...
Ni tatizo kwa mwanamke au msichana kufanya maamuzi ya kukubali kuolewa kwa shangwe lakini akiwa ndani ya ndoa yake anakuwa hayuko radhi kubeba mimba ya mwanaume.
Tutajifunza kuwa muelekeo wa...
Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi...
Salaam.,
Juzi nilikuwa kwenye kijiwe cha kahawa, na wadau kadhaa tukipeana stori mbili tatu huku mzee Toboa tobo na kijana Razack machuma wakionyeshana ubabe kwenye bao.Dakika kadhaa za mchezo...
Waaslam wakuu!
Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G.
Wanawake wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.