Mwanamke mwenye sifa za kuolewa huwa ana kiasi ktk kila kitu ikiwemo kujipodoa.
Wanaume wakimuona mwanamke kajipodoa sana waanakwepa kumuoa ili kuepuka mzigo wa gharama za kununua vipodozi...
Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli...
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
Ndoa ikiwa hasa haina uzuri inakuwa chanzo cha umaskini tena kwa Hatua kubwa kabisa na ndio maana uzunguni mwanamme hakubali kuoa hivihivi sababu anajua ndoa ni kitu kibaya cha kuharibu maisha...
Tupo katika kipindi cha toba kwa dini zote, Islamic na Christian tupo katika Ramadan na Kwa Resma, ni matumaini yangu mnashirki vyema na Mungu awabariki.
Kwa hakika mahusiano hayajawahi kuwa...
Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa...
Ni jambo la kumshukuru Mungu wote tupo hai mpaka sasa, ndio maana tumewasha data kusoma uzi huu. R.I.P kwa wale waliokosa haya madini. Aluta continuaa Wakuu.
Binadamu tumetofautiana kwenye...
Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama...
Ili kujenga mahusiano mazuri kwanza hakikisha wewe ni mwaminifu. Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri hakikisha uliyenaye ni mwaminifu. Kwetu wanaume kitu cha kwanza muhimu ni mwanamke mwaminifu...
Habari zenu?
Poleni na majukumu ya kila siku, swali langu ni kwamba je ni sahihi mwanaume kutokuacha hela ya matumizi nyumbani? Binafsi nina miezi miwili toka nifungue biashara ya mgahawa hata...
Sio kila kitu anachokitaka au anachokuomba mwanamke ni lazima umpatie hata ķama kipo ndani ya uwezo wako sometimes mwambie sina. Lakini ikitokea kila anachokitaka mwanamke wako unampatia hata kama...
"Baada ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kutoa tamko imeonekana Uislamu ni dini ambayo haiangalii maisha ya wanawake, haiwajali wanawake lakini ukweli ni kuwa Uislamu umemthamini sana...
Wakuu nimeamini tunapendwa sana na mademu sisi wahuni, wanaume ambao hatufagilii pigo za kuendeshwa na mademu tunapendwa mno. Life style yangu la kihuni limenipatia mademu kibao,
Mimi uwa...
Reality: hitaji lako ni kuwa ktk ndoa/mahusiano na mtu mwenye sifa kadha wa kadha
Hisia: ktk harakati za kumtafuta, hisia zinadondokea kwa asie hata na 40% za uhalisia wa hitaji lako.
Reality...
Wanaume,
Sikilizeni alichozungumza.
Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa...
Habari wadau, ebana niende kwenye mada,
Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja...
My wangu anaitwa mama b, kwao pare nyamongo taariiime.
Mara ya kwanza kumpa kibano nirimnasa makofi mawiri, ghafra akanivaa akanikaba na kuninasa mitama na mijeki nusura kumwaga meno ya sebuleni...
Binafsi niliona ipo shida pale mke na mme wanaoishi pamoja kutofautiana Imani za kidini lakini kadri umri unavyosonga nahisi inawezekana! Kweli MAISHA HAYANA FORMULA.
Jamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.
Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.