Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lakini sasa nina 30 nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu. Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja. My...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling. Aliyewasukuma kuchumbiana na...
15 Reactions
53 Replies
2K Views
NIMEICOPY SEHEMU. NJIA PANDA!! Dada Shangwe shikamoo. Naomba unipelekee ITY ,Yamenifika... Mimi nilisoma Advance msalato girls, sasa kipindi hicho nilikuwa na rafiki yangu ana Asili ya...
2 Reactions
9 Replies
612 Views
Mapema wiki hii, Tyrese aliingia kwenye Instagram Live ili kuangazia zaidi uhusiano wake na Zelie Timothy—mwanamitindo ambaye walianza mahusiano mnamo 2021. Alipoulizwa jinsi wawili hao...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa...
1 Reactions
2 Replies
728 Views
Makabila hayatofautiani lugha pekee, ila mila na desturi pamoja na mahusiano kwenye ndoa zao pia huwa ni jamii inayojitofautisha na jamii ya kabila au makabila mengine. Kuchepuka kwa wanandoa kwa...
2 Reactions
4 Replies
671 Views
Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee...
22 Reactions
232 Replies
9K Views
Habari za Jumapili ndugu zangu? Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana. Nilikua na gilrfriend wangu tukawa tumegombana...
25 Reactions
364 Replies
13K Views
Habari wakuu Hawa viumbe wanawake ni pasua kichwa wakuu, yaani huyu mwanamke nilipanga kumuoa kabisa, ni mtu wa dini anaimba kwanya kabisa, kanisani daily hakosi, mpole na mnyenyekevu, sio mtu wa...
19 Reactions
204 Replies
14K Views
Kwasababu uongozi wa JF umetuhakikishia anonymity, kutulinda I'd zetu tusijulikane washindi wote wa tuzo za JF. Nafikiria kumtuma mamaJ kijanja akanichukulie zawad yangu pale ofisi za JF Kwa...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu kwenye idara, vyombo au taasisi zenye dhamana ya upatanisho wa migogoro ya wana ndoa, kwa tathimini ya haraka haraka na baadhi ya shuhuda kama Tano (5), nimejiridhisha pasi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema. Mazingira yakabadilika...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo. Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe...
2 Reactions
8 Replies
826 Views
Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaume wenzangu! Legally or illegally tupambane tupate madaraka na tupate mshiko. Hebu inagine unakuwa Rais au kigogo... mizigo kama hii unaitafuna sana. Ni kuagiza tu hawezi kukataa. Ukiangalia...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanajamvi natumai kwema kwa wote hata mimi pia. Naomba kuuliza huu msemo wa kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha; Kimtazamo umekaaje...? Mfano;Mimi nina mke 1, na mtoto 1, nina miaka 5 ktk...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Hellow, Wadogo zetu tunawapenda sana tunawaambia kila siku gono now ndio ugonjwa ambao ume trend sana na watu hawajui. Mimi mwaka jana nilitokea penda manzi mmoja ya tanga, lina minyama kama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka Jana nilipokuwa nafanya kazi kwenye taasisi Fulani. Alikuja binti mmoja kuajiliwa Aneth (sio jina lake halisi), baada ya kuajiliwa ile taasisi ilikuwa na mambo ya hovyo Sana hasa kwa...
6 Reactions
140 Replies
8K Views
Back
Top Bottom